CCM yafanya maamuzi mazito Kamati Kuu?

Okay bado ninajaribu kuziweka pamoja the dataz na kukusanya zaidi,

kuna tetesi kubwa ya Makamba, kuwa huenda tayari akawa ameandika barua ya kujiuzulu......na atakayemrithi antajwa tayari.... kwa kujadiliwa kikao cha NEC tarehe 8 na 9, moore soon...!
 
No comment, still listening - nothing worth commenting on so far
 
Okay bado ninajaribu kuziweka pamoja the dataz na kukusanya zaidi,

kuna tetesi kubwa ya Makamba, kuwa huenda tayari akawa ameandika barua ya kujiuzulu......na atakayemrithi antajwa tayari.... kwa kujadiliwa kikao cha NEC tarehe 8 na 9, moore soon...!

Tayari mbio zimeanza kwa ajiri ya uchaguzi mkuu mwaka 2010.

Lets,see........... baadaya ya kukisafisha chama,then what....? Bangusilo wa EPA........?,au Daraja la Kigamboni....? Hapana i guess this one itaua upinzani kabis TUTALIPA WALIMU NA WAZEE wa EAC .!!!!!!
 
Okay bado ninajaribu kuziweka pamoja the dataz na kukusanya zaidi,

kuna tetesi kubwa ya Makamba, kuwa huenda tayari akawa ameandika barua ya kujiuzulu......na atakayemrithi antajwa tayari.... kwa kujadiliwa kikao cha NEC tarehe 8 na 9, moore soon...!

Ajiuzulu mapema and we hope huyo atakaye mreplace is far much better than him na siyo mtu wa porojo ila kwa CCM you can always expect nothing!
 
Still waiting for more dataz mkuu FMES...maana umetupa appetizer tunasubiri the main course sasa....tushanawa hapa!
 
Ajiuzulu mapema and we hope huyo atakaye mreplace is far much better than him na siyo mtu wa porojo ila kwa CCM you can always expect nothing!

Kikwete, Msekwa na Makamba wote wajiuzulu Mwenyekiti wa Muda Warioba, Makamu Mwenyekiti Mwakyembe na Katibu Mkuu FMES :)
 
Kikwete, Msekwa na Makamba wote wajiuzulu Mwenyekiti wa Muda Warioba, Makamu Mwenyekiti Mwakyembe na Katibu Mkuu FMES :)

Umemsahau Anna Malecela,Dr Salim Ahmed Salim and Obviously Mimi kwenye allocation of those strategic seats!
 
Umemsahau Anna Malecela,Dr Salim Ahmed Salim and Obviously Mimi kwenye allocation of those strategic seats!

i said some thing yersterday,and it has occured to me again that is of a Great importance,if were we to analyse this (hili lilotokea na mambo yalivyo political) upheaval.

Majina mnayo yataja kwa kudhani ni wenzenu ni mazuri,ila ndio kama nilivyosema, "Huwezi kua kwenye kundi la MALAYA alafu ukadai wewe sio mwenzao".

NB;Mkulu Kevo heshima mbele,

But we can not have some maniacs with nick names such as Sanda matuta or Kevo positining themselves on those strategic seats unless utuambie KEVO ni nani?
 
Mkuu Sanda Matuta, heshima mbele,
Hii nawezekana mkuu, maana hata Yesu Kristo alikuwa anakula na pia alikuwa rafiki yao Watoza ushuru na wenye dhambi, lakini yeye hakuwa hivyo.
 
Hang on a minute.... kule Michuzi kuna picha ya wajumbe wa CC na JK wakiwa kwenye kikao IKULU DAR hiyo CC ya Dodoma ni ipi tena?

Am I missing something somewhere?
 
Mkuu Sanda Matuta, heshima mbele,
Hii nawezekana mkuu, maana hata Yesu Kristo alikuwa anakula na pia alikuwa rafiki yao Watoza ushuru na wenye dhambi, lakini yeye hakuwa hivyo.

Mkulu,

Nakuomba chonde chonde....,usiniingize kwenye kutenda zambi.

Haya niambie kwenye hayo majina Yesu nani............!?
 
Briefly More dataz kutoka CC, Dar:-

1. Kikao cha CC kilianza leo na kitaisha kesho, kesho kitaanza saa tano mchana na kuisha jioni.

2. Kikao kwa kauli moja kimeamua kuwafuta wagombea wote wa uchaguzi wa uenyekiti wa UV-CCM kutoka bara, na kama alivyoomba rais kuwaachia nafasi hiyo wagombea watatu wa kutoka Visiwani.

3. Mwenyekiti wa kikao rais wa jamhuri, mapema aliomba kupitihswa kwa hoja, aksiema wka uchungu mkubwa sana kwamba kampeni za uchaguzi huo zilikwua zimeharibiwa sana na rushwa na hisia nzito zilizomhusisha hata mtoto wake, akaomba kuepusha mgawanyiko zaidi kwa kuwafuta wagombea wote wa kutoka bara, CC wameipitisha tayari.

4. Kamati kuu imeamua kupiga marufuku mtindo wa kutoa alama kwa viongozi wa Jumuiya zake, kwa mantiki hiyo kikao hicho kimeamua kuibatili alama ya E aliyopewa mmoja wa wagombea wa uenyekiti wa UV-CCM ndugu Nape, na pia kimeondoa alama ya E aliyopewa mgombea mmoja wa nafasi ya mwenyekiti wa UWT Bi Mamuya, na kuwapa alama ya A.

- Lakini CC imeamua kwamba hataruhusiwa kugombea nafasi hiyo, yaani Bi Mamuya, kuhusu Nape, CC imeamua kuukataaa kabisa uamuzi wa UV-CCM uliotolewa dhidi ya Nape, na kwamba rufaa yake itasikilizwa tena huko NEC, tarehe 8 na 9.

5. Kikao hicho pia kimepitisha majina matatu ya wagombea wa uenyekiti wa UWT, yaani Mama Janet Kahama, Mama Sophia Simba, na Mama Masunga, pia kimeyakubali majina ya wagombea uenyekiti wa wazazi, ambako mbunge Mkono anatazamiwa kunyakua nagfasi hiyo bila ushindani mkubwa.

6. Baadhi ya Wabunge wamependekeza, kuondolewa mara moja wka katibu mkuu wa sasa wa CCM, ili kukinusuru chama na bunge na wakataka Pinda na Spika, wapewe nafasi ya kuandaa kikao cha dharura na kuto mapendekezo ya kuinusuru CCM huko bungeni.

7. Mafisadi ambao wameonekana wakitoka kwa hasira sana ndani ya kikao hicho, sasa hivi ninapoandika wanakutana kwa siri "sehemu" kuandaa mkakati wa kupambana na hii situation ambyo hawakuitegemea na agenda kubwa huko ni namna ya kumshika mgombea mmoja wa huko Zanzibar.

- Lakini pia kuna habari za rais kukutana na baadhi ya wajumbe muhimu wa CC, majuzi "somewhere" ambako aliwataka kufikiria namna ya kukabiliana na hii ishu ya ugombea na uongozi wa UV-CCM kwa ujumla, ambapo aliwashauri kuwa wawatoe viongozi wote wa sasa na kuchaguz wapya with mandate ya mabadiliko, ambapo pia anamtaka kiongozi mmoja mashuhuri sana kutoka bara (jina ninalihifadhi kwa sasa) kushika nafasi ya katibu mkuu.

Samahani wakuu kwa uchelewesho, mawasiliano yalikua magumu mno, lakini in the meantime bado tunaendelea kukusanya more dataz na tutaendelea kuhabarishana as soon as tukizipata.

Masahihisho kidogo ni kwamba kikao kipo Dar na sio Dodoma, Mods wanaweza kutusaidia kurekebisha hapo juu.
 
Hang on a minute.... kule Michuzi kuna picha ya wajumbe wa CC na JK wakiwa kwenye kikao IKULU DAR hiyo CC ya Dodoma ni ipi tena?

Am I missing something somewhere?
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM kilichofanyika ikulu jijini Dar leo-Michuzi Blog
8D6U1836.JPG

Dataz zimekosea? au kuna vikao viwili
 
Makamba hatokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

"Tetesi" kutoka huko juu na ndani sana ni kwamba ameshaandika mwenyewe barua ya kutaka kuachia ngazi tayari, na "chagua jipya" ameshaanza kujitayarisha ingawa bado anajadiliwa vikali sana kama ataweza au ana uwezo wa kuweza kushika hiyo nafasi.

Na pia hata nguvu kubwa aliyonayo, ambyo imekwua ikimfanya awepo hapo kwa muda mrefu sana sasa, imeshafahamika tayari, upepo ukikaa sawa tutaweka hapa kama kawa!
 
Lakini huku kuwafuta wagombea wote toka Bara na kuwaacha wa visiwani tu si upendeleo ulio dhahiri? Kwani wagombea wote wa kutoka bara walihusika na utoaji rushwa ili kupata nafasi hiyo? Kwa nini uchaguzi usiahirishwe hata kwa miezi miwili ili kuwapa nafasi wagombea wa Bara kuomba upya nafasi hiyo? Kuna jambo kubwa lililojificha hapa.
 
Back
Top Bottom