Elections 2010 CCM yaendelea kupimana ubavu na kanisa katoliki Sumbawanga.......

ccm na watu wenu mbumbumbu!!!!!!!!!!!!, sheria za kanisa ziko wazi na haziangalii nani ni nani tunamifano ya maaskofu lukanima, koda na wengine. hypolitius matete ni mseminari wa zamani amesoma kaengesa seminary anajua kumkashifu roho mtakatifu adhabu yake ni ipi. sasa matete ni zaidi ya maaskofu hao na orodha ndefu ya mapadre waliosimamishwa. tujifunze kusema kweli wamekosa waombe msamaha sio kuomba huruma ya watanzania kwa kuwadanganya. kanisa katoliki sumbawanga endeleeni na msimamo huo huo. papa benedto 16 alipopotoka katika kauli aliomba msamaha kwa waislam duniani.
 
Hawa wakatoliki waasi wamepamia kisiki cha mpingo kupambana kanisa. Waombe msamaha yaishe. Waachane na magazeti ya habarileo kwani hayatawasaidia kutatua tatizo lao la kukengeuka kiimani. Watubu dhambi zao nao wasamehewe. Vinginevo hakika wana hali mbaya sana.
 
mbona utaki kumuelewa mwenzio? Kwani wakatoliki sio wakristo? Sasa mbona unasema utatu mtakatifu si wa wakatoliki? Kama ni wa wakristo basi na wakatoliki wamo ila vicent augustino kainsist on wakatoliki, Utingo upo hapo,au umeshuka?

tatizo la vincent ni kuwa ame-upersonalise UTATU kuwa ni wa-ukatoliki, jambo ambalo si kweli, unapojiita mkristo hasa catholic, protestant or pentecostal msingi wa ukristo wako ni Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Ndiyo maana nimemjibu kuwa ni wa wakristo wote -protestants, catholics, pentecostals etc. unanipata hapo?

You will be surprised kuwa Jehovah wits hawautambui utatu, na ndiyo maana they dont fall on any christian sect nilizozitaja hapo juu.
 
Na kama wakiendelea na ubishi wao wa ku-mix u-CCM na dini watapata shida sana kuishi katika mkoa ulio ktk himaya ya RC kama Rukwa.

Maana shule karibia zote ni zao, dispensari, na hospitali nzuri zote ni zao, hata baa na vijiwe vya Chimpumu vinamilikiwa na waumini wa RC...ooh! nimesahau kuwa hata mkulu Pengo nae anatoka hukohuko...

Nawashauri jamaa waende tu wakatubu ili wasiendelee kutengwa...

thank you sir. na kumsimamisha huyo hilary walidai kuwa eti anachukiwa kwa sababu si mkristo jambo ambalo si kweli. Tulinamchukia hillary kwa sababu ya uchafu/matendo yake. Hata waarabu wenzake hawampendi wala hawataki hata kushirikiana naye.

Ngoja niende katandala kunywa kimpumu, time ndiyo hii.
 
Tunakokwenda hakufai, waamini tukitenda dhambi tugome kutubu? Something must be wrong somewhere!
 
Hata mi nilikuwa sijajua undani wa hii kitu. Maadam nimejua basi hao waumini ni makanjanja wa imani na wanastahili fundisho
 
Huyo mwandishi wa habari hizo anapaswa kutiwa nguvuni kwa kutaka kulitumbukiza taifa kwenyd mgogoro mkubwa wa kidini. Amekiuka maadili ya kazi yake na kuongeza chumvi ili kupotosha ukweli na kupandikiza chuki za udini na itikadi za kisiasa. Anatakiwa apandishwe kizimbani akatoe ushahidi wa kile anachokiandika kwamba waumini hao wametengwa kwa sababu ni wanachama wa CCM na wamemuunga mkono mbunge ambaye ni MUISLAMU.. .
 
Mbegu chafu zinazo pandwa na chadema, inamaana ukiwa mkatoliki lazima u-support chadema? ukisupport ccm au cuf unatengwa?? CHADEMA kweli inatupeleka pabay!!
 
Philosophy ya mafigure matatu muiangalie sana CCM, wakristo wanaifanyia KAZI kwani wao si wagomvi. Usiuwashe moto ambao kuuzima huwezi
 
"Maamuzi yaliyofanywa na kanisa,hayatatenguliwa na mamlaka yoyote duniani. Taarifa tutawagawieni nyie waandishi wote wa habari ili kuweka kumbukumbu sawa". Source jimbo kuu kanisa katoliki Sumbawanga. Wana jamvi mwenye contact na mwandishi wa mvutano huu, awasiliane nae na atuwekee majibu ya kanisa juu ya sakata hili. Nina imani alikuwepo wakati wataalam hawa wana hitback. Wameimiza kitendo cha kuukana ukristo ni direct xcommunication na ni ww unaejitenga na kanisa. Mfano utoaji mimba, kumkashifu roho mtakatifu...kwa wakatoliki wanajua.
 
Wakatoliki wananipa raha ya kufa mtu. Wakiamua eende peponi utaenda, wakiamua usiende huendi. Lakini pepo wanayoijua wao. Wasiposwalisha marehemu watagomewa na mungu? Wajinga ndio waliwao. Ukitaka jema uende mi-sioni.
 
Back
Top Bottom