CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

Nape vipi kuhusu ile ishu yako wewena Lowassa kuhusu jengo la vijana wa ccm? Au ndio hizo siasa za timing unazozungumza???
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

NAPE, kijana kashindwa hata kutaja jina la kata kulikofanyika mkutano.

Huu ni uhuni na si tija kwa upande wa chadema kuwa na wafuasi waongo.

Kwa mtindo huu kila uchaguzi chadema watasema CCM wameiba kura

mazingira ya kutengeneza kwenye jukwaa la siasa kama haya ni kujitengenezea kifo na ajali za kisiasa za kijinga.
 
Nape vipi kuhusu ile ishu yako wewena Lowassa kuhusu jengo la vijana wa ccm? Au ndio hizo siasa za timing unazozungumza???

Na mkopo wa MBOWE aliokopa NSSF na kukataa kulipa kesi yake imeishia wapi?

Twende kwenye mada ukitaka kutupeleka kwingine kila mtu anaweza
 
,leo jioni nilipita kata moja ...............umenishangaza kushindwa kutaja jina la kata wakati uko huko huko na jina la eneo au kiwanja kulikofanyika mkutano huo ili uweze kuaminika.

jina la kijiji ni Ibasani ndo huo mkutano wa CCM ulifanyika leo na kukosa wahudhuriaji.
 
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja na kukuta watu ni wachache mno na wengi wao ni watoto na akina mama ambao wamepewa kanga na sh 5000 ili waende kwenye huo mikutano yao,mgombea wa CCM ndugu Sioi Sumari ameendelea kutokukubalika maeneo mengi ambapo wananchi wamesema marehemu baba yake aliyekuwa mbunge Jeremiah Sumari aliwaahidi mambo mengi lakini mpaka kifo chake alikuwa hajatekeleza hata robo ya ahadi alizozitoa kwenye uchaguzi ulio pita.Tumewachoka CCM walisema wananchi wengi na kuanza kuimba tunaitaka CHADEMA ambaye ni mtetezi wa wanyonge..

japo kapicha kamoja tu kangetoa support na kukubeba hapa JF.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Kuwa mkweli hata mbele za Mungu Nape kweli hamuibi kura??
Mbona mahahakama zishawahi kuthibitisha kuwa Dr Slaa aliibiwa kura Karatu alipokuwa anagombea ubunge na bado akashionda?
Wewe bado mdogo uongo haukufai ukija kuzeeka unaweza kuwa mchawi kabisa ukiendekeza uongo ujanani.
 
WE NAPE MI MWANZONI NILIKUONA MAKINI KWELI LAKINI SASA WEWE NA KINA SITA NA WENGINE HAMTOFAUTIANI MTISHIA KUWEKEWA SUMU MAANA HATA MUNGU HAPENDI WANAFIKI.

Mi nipo Arumeru nipo Arumeru wameenda kijiji cha Kilinga kata ya Mulala walikopanga mkutano kufanyika wamekosa watu na jioni wamerudi kapa

Pia jana watu wachache walimsubiri sioi eneo la poli hakutokei huku hata wanaccm niliongea nao leo wanasema hawamchagui sioi kwa hiyo kama unafanisha Igunga Uzini na Arumeru kwanza hayo ni matusi makubwa, ARUMERU WATU WENGI WAMEENDA SHULE, KAMA UNATAKA KUJUA MWAGIENI MTU TINDIKALI MAANA HUKU HAMNA BANDA LA KUKU LA KUCHOMA KAMA IGUNGA

Mkapa baba yenu ameendelea kuvuliwa nguo huku sijui ataficha wapi uso tena

KIPINDI HIKI KURA HAITAIBIWA NAPE USIJIDANGANYE........... LAZIMA KITAELEWEKA TU ARUMERU
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200. OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Mkuu Nape,
Mtoa hoja hajasema kwamba mmekosa kabisa watu. Amesema kwamba mmepata umati dhaifu! Alafu naomba nikuulize hivi safari hii umeenda Arumeru au?
 
jina la kijiji ni Ibasani ndo huo mkutano wa CCM ulifanyika leo na kukosa wahudhuriaji.

asante kwa ufafanuzi walioko Arumeru wanaweza kutuambia kama kweli kijiji hicho kipo, NAPE wasiliana na wanaCCM wenzako tupe ukweli wa kijiji hiki.
 
kaka nape,ivi nikweli uyu asiyeo shumari ccm taifa ilimkataa ila luwasa akawazidi kete?ivi aliyema vicent nyerere ya kweli?ivi matusi aliyotoa mh mkapa alikuwa amelewa au karukwa na akili?nape nisaidie vingnevo naukana u Tanzania huu wa kishetani!
 
Hivi ni Nape huyo huyo mvua maghamba au mwingine!!!!Tayari kazi yake imekwisha, kweli fedha ni laana tupu!!!!Pole kaka umemezwa mzima mzima!!!!

Ndiyo huyo Nape tunayemjua.

Yani amekuwa akichungulia humu Jf na kupata Updates then anabonyea kumsujudu kwa kumlamba EL miguu!

Pesa ni laana kweli kweli!
 
Kuwa mkweli hata mbele za Mungu Nape kweli hamuibi kura??
Mbona mahahakama zishawahi kuthibitisha kuwa Dr Slaa aliibiwa kura Karatu alipokuwa anagombea ubunge na bado akashionda?
Wewe bado mdogo uongo haukufai ukija kuzeeka unaweza kuwa mchawi kabisa ukiendekeza uongo ujanani.

Ukiwa mwanachama wa magamba group automatical ushakuwa mwanga
 
cha muhimu hapo ni kushika neno moja kutoka Nape SIASA NI TIMING,tusipige kelele mitandaoni pasi kuwepo ktk maeneo ya matukio na kujiridhisha nini kina endelea

nami nasema UCHAGUZI NI KAMA MBIO ZA RIADHA,UNAWEZA PITWA MWISHONI
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Nape upo on line jibu hoja. naona unaipenda FB kuliko JF alafu cha kushangaza nikitembelea wall paper yako FB huwa naona rafiki zako huwa wanakudis sana bado hubadiliki tu. unaroho ngumu kama ya paka.
 
Back
Top Bottom