CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja na kukuta watu ni wachache mno na wengi wao ni watoto na akina mama ambao wamepewa kanga na sh 5000 ili waende kwenye huo mikutano yao,mgombea wa CCM ndugu Sioi Sumari ameendelea kutokukubalika maeneo mengi ambapo wananchi wamesema marehemu baba yake aliyekuwa mbunge Jeremiah Sumari aliwaahidi mambo mengi lakini mpaka kifo chake alikuwa hajatekeleza hata robo ya ahadi alizozitoa kwenye uchaguzi ulio pita.Tumewachoka CCM walisema wananchi wengi na kuanza kuimba tunaitaka CHADEMA ambaye ni mtetezi wa wanyonge..
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Pedestrian thinking!
 
Kweli nimeamini CCM ni taasisi ya Lowassa. Mpaka Nape ameanza kumlamba miguu! Pesa mwanaharamu. Ooh Siyoi is not fit or sijui nini! Vuvuzela wewe!
 
Hivi kuna mtu anayekitamani k.i.n.y.e.s.i? Hebu waachieni nzi wakile hicho k.i.n.y.e.s.i
 
landala,
kwakuwadanganya huku wenzio ndio mtakuja sema mmeibiwa kura. Hakuna mahali ccm wamekosa watu kama unavyodai, sasa sijui mwisho wa uongo na uzushi kama huu ndio yale ya uzini, ccm 5000, cdm 200.........oooooh tumeibiwa! Siasa yataka timing dogo!!!
ki uhalisia ccm mmetota nape na hata wewe unajua kuwa dogo wa chadema anapeleka puta vipi kaka niliona humu siku ya uzinduzi wa campaigh picha za magari (mabasi na malori)zikiwa zimebeba watu kutoka sehemu zilizo inje ya jimbo la uchaguzi kaka vipi hawa walikuja kufanya nini?
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Arumeru sio Uzinzini mjomba. Huku watu wamesoma, sijui mtawadanganya na kitu gani watu wenye akili zao. Mahindi ya msaada wanajua ni haki yao na si fadhira. Huku mtakimbiana wenyewe! Hakuna CCM magamba wala CCM Masalia atakayeaga huku, mtatafutia njia za kutokea!
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Nape

mbona huendi Arumeru mashariki? umebaki kuchungulia humu jf upate update za kampeni za arumeru, habari ndiyo kama hiyo

the rise and fall .....is a leeway to common life
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Tuwekee picha za leo nape
 
Huo Zushi umeanza tushastukia chaadema ni waongo sana kwaninio hamuweki picha za mikutano yenu tuone mmahudhurio? Subirini kichapo Arumeru
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Lahaulah Mwana Kafiri!!!!!!

Nape! Uuuuuwiiiiiiiii! Hatimaye umelazimika kula KINYESI chako!!!!!?????
 
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja na kukuta watu ni wachache mno na wengi wao ni watoto na akina mama ambao wamepewa kanga na sh 5000 ili waende kwenye huo mikutano yao,mgombea wa CCM ndugu Sioi Sumari ameendelea kutokukubalika maeneo mengi ambapo wananchi wamesema marehemu baba yake aliyekuwa mbunge Jeremiah Sumari aliwaahidi mambo mengi lakini mpaka kifo chake alikuwa hajatekeleza hata robo ya ahadi alizozitoa kwenye uchaguzi ulio pita.Tumewachoka CCM walisema wananchi wengi na kuanza kuimba tunaitaka CHADEMA ambaye ni mtetezi wa wanyonge..

,leo jioni nilipita kata moja ...............umenishangaza kushindwa kutaja jina la kata wakati uko huko huko na jina la eneo au kiwanja kulikofanyika mkutano huo ili uweze kuaminika.
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Nape wewe ni kijana mdogo alafu hauko makini katika hoja zako na umewekwa hapo ili utumiwe!!! Nakuhakikishia utatumika na kutupwa ka toilet paper!!!!! CCM ina wenyewe nawe si mmoja wao! Bora ungetimkia CCj...
Agalia, kuvua gamba wamekushit, umepiga kelele na Igunga ukuenda na wamekuzingua......

Sasa umebaki kuwa kipofu bila kuona kuwa unatumiwa na siku Lowass kwa mf. akiwa mkubwa wako utakiona cha moto!!!

Ukumbuke after JK uko out, out, out.......
 
Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!
Acha kupotosha umma...
Mmefulia CCM na mipango yenu tumeijua....
Arumeru hamtuibii tena
 
Back
Top Bottom