CCM yaendelea kujaza watoto mikutanoni Arumeru Mashariki, wasikiliza matusi na viuno vya majukwaani

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Sioi akihutubia mamia ya watu Maji ya Chai ambako imnadaiwa kuwa ngome ya Chadema
Lusinde akiwachana CHADEMA kwenye ngome inayodaiwa yao Maji ya Chai
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiumba kura kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Maji ya Chai jimboni humo, jana. eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya CHADEMA.
Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo
Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari kwenye mkutano huo.
Na Bashir Nkoromo.
 
Reporter wanaoishi kwa uongo mkubwa, hao watu walioletwa na hiace ni wakazi wa mikoa ipi? Haka kaLusinde kanaongea upuuzi tu povu kibao kichwani mweupe nilimsikiliza nikajua akili yake iko kwenye tumbo analolitumikia, jinga tu alituudhi wanaume kutuambia tusipoipa ccm tuna mimba, ni vile sheria inawalinda na sisi kutuua la sivyo ningempandia nimkung'ute mtu akishakaa ndani ya kiyoyozi anatuona wajiinga, ok amalize kampeni arudi kwao la sivyo ataumia.
 
Sioi akihutubia mamia ya watu Maji ya Chai ambako imnadaiwa kuwa ngome ya Chadema
Lusinde akiwachana CHADEMA kwenye ngome inayodaiwa yao Maji ya Chai
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiumba kura kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Maji ya Chai jimboni humo, jana. eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya CHADEMA.
Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo
Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari kwenye mkutano huo.
Na Bashir Nkoromo.
Yaani mikutano ya CCM hakuna mzuka kabisa watu wa wanawaza posho zao tu....
 
eeeeebwwwwaaaaanaaa eeee!!
Yaaaaaan kumbe ndio mchezo waoo! Hakuna watu wa 18+ zaid ya 50 hapo!
 
ha ha ha teh teh teh eti ccm yajaza watu wapi na wapi?!!! Hebu siku moja waambie ccm wafanye mkutano bila kuweka yafuatayo hapa chini kama watapata watu hata 50....
Mambo wafanyayo ccm kuonyesha mikutano yao ina watu
1. Hukodisha malori ya kubeba watu kutoka wilaya zote za mikoa husika mathalani(kwa uchache) kama mkoa una wilaya 6 x malori 3 ya abiria 50 kila wilaya tutapata (6x3x50)= watu 900 ????
2. Watoto washule kuanzia kindegaten mpaka secondary hulazimishwa waende!!!
3. Baadhi ya viongozi wa kata na vijiji hupewa rushwa ili kugawanya kwa wanavijiji huku wakiwashawishi!!!
4. Vikundi vya muziki,ngoma,kwaya,comedies,vichekesho n.k huletwa ili kuvutia watu
5. Wakati mwingine pilau hupikwa kwa baadhi ya maeneo hasa hasa kuwapa wahamasishaji!!!

<<<<<<<akili zako changanya na za ccm>>>>>>
 
Back
Top Bottom