Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yadorola Ngaraselo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bahati Joseph, Mar 12, 2012.

 1. B

  Bahati Joseph New Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM yawatangazia mkesha wananchi wa arumeru lakini washindwa kutekeleza ahadi yao kama ilivyo kawaida ya chama hicho.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 21,108
  Likes Received: 11,354
  Trophy Points: 280
  kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa pumbafff kweli. Watu wakeshe wakati kesho ndo kwanza siku ya kwanza ya kazi katika juma!!!!?
  Hivi wana akili timmamu kweli hawa!!! Na hiki ndo chama tawala ambacho kinataka kutuletea maendeleo!
   
 4. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM kumejaa Mazoba
   
 5. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,630
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  To helk with magamba, Wakeshe kuambukizana ukimwi au, mbona wanatuletea mambo tusiyoyaweza?
   
 6. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,670
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Mkesha umekatizwa na jeshi la polisi na wametawanyishwa haraka
   
 7. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,488
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Ccm bana,mwigulu hamnazo
   
 8. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Jamani muwasamehe CCM walifikiri huko ni pwani wanako acha kufanya kazi ya kula keshokutwa na kwenda kucheza achimwenengule wawaaa! HUKO NI KAZI TU NO BLAHBLAH!
   
 9. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 931
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  CCM waliona wapi wameru wakikata mauno?. wao wamezoea kuchezesha misiki ya wakina komba na wakina kopa wanadhani wameru watayaweza hayo maushenzi.
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,004
  Likes Received: 3,568
  Trophy Points: 280
  Ilikua mbinu ya mwigulu, angebanduliwa nke wa ntu kabla hakujakucha, hongera washili, nayaamini maneno yenu.
   
 11. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,932
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  si huko tu hata kwetu hamna
   
Loading...