CCM yadaiwa kuanzisha Forum yake; Nape akanusha

Kufa MBONA SI TATIZO, ANAKUFA BINADAMU SEMBUSE TAASISI? Swala hapa SI kufa swala hapa kufa kwake ndo suluhisho la matatizo tuliyo nayo? mgao WA umeme Kenya umeletwa na CCM? MPAKA walifikia MAHALI wanafunga uwanja WA ndege ndege haziruki kiss mgao WA umeme, huko CCM IKO?

Ugumu WA maisha ZIMBABWE CHANZO BILA SHAKA CCM! vurugu zinazoendlea MALAWI, AFRIKA KASKAZINI NAKO CCM NDO INAYOSABABISHA...... KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI MWANZO WA UFUMBUZI WA TATIZO... NIELEZENI KUFA KWA CCM KAMA TAASISI KUTAMALIZAJE MATATIZO YA TANZANIA? Kwa HOJA pls SI MATUSI na kejeli Kama Huna HOJA tuachie wengine tujadili
Kama Rais mwenyewe alisema tatizo la umeme ni ukame ...tutategemea nini cha ziada kutoka kwa katibu mwenezi wa chama chake!
Ukiwa CCM hata ukiwa na PHD unakuwa mwendawazimu tu! Ni magufuli tu nadhani zinamtosha kiaina!

Sasa utatulinganishaje na nchi jirani ? Kwani umeshindwa kujiuliza masuala machache tu kabla ya kutoa huo upupu...?

Hivi nchi jirani zina rasilimali kama madini (dhahabu,almasi,tanzanite,makaa ya mawe), gesi nk. kupita tanzania..? hujui kama hizi rasirimali zingetumiwa vizuri tungekuwa tunazalisha hata umeme wa ziada na kuuza kwa hawa majirani zetu?

Hivi kwa majirani zetu kuna kitu kizuri kama stiegler's gorge?unajua tungeweza kujazilisha megawatt ngapi pale?

Sasa unapotulinganisha na wenzetu wakati sisi tuna utajiri mkubwa ni upumbavu mkubwa ! Majirani zetu wanaweza kuusingizia ukame lakini sisi TZ hatutakiwi kabisa kufanya hivyo!
 
Kufa MBONA SI TATIZO, ANAKUFA BINADAMU SEMBUSE TAASISI? Swala hapa SI kufa swala hapa kufa kwake ndo suluhisho la matatizo tuliyo nayo? mgao WA umeme Kenya umeletwa na CCM? MPAKA walifikia MAHALI wanafunga uwanja WA ndege ndege haziruki kiss mgao WA umeme, huko CCM IKO?

Ugumu WA maisha ZIMBABWE CHANZO BILA SHAKA CCM! vurugu zinazoendlea MALAWI, AFRIKA KASKAZINI NAKO CCM NDO INAYOSABABISHA...... KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI MWANZO WA UFUMBUZI WA TATIZO... NIELEZENI KUFA KWA CCM KAMA TAASISI KUTAMALIZAJE MATATIZO YA TANZANIA? Kwa HOJA pls SI MATUSI na kejeli Kama Huna HOJA tuachie wengine tujadili

Wee Nape hv uko sawasawa kufananisha nyumba yako na ya jirani. Uchumi wa Kenya na Libya b4 vita ulikuwa sawa na miaka 50 ya Bongo.. Kubali kwmba chama chako kina sera mbovu.

Ndo mana wenye akili kama US na UK, chama hakiwez kuongoza zaidi ya mihula 2. Hata Ghana ambayo inasfiwa kwa demokrasia, now upinzan ndo unashika madaraka..
 
Icho kinaitwa kifo cha mfa maji 2015 kitaeleweka ata kwa mapanga kama nyambari nyangwine alivyosema bungeni na hakukemewa
 
Wana Jf

Nimesoma habari ambayo imenistua na imenibidi niongee na Mhariri wa Gazeti la Mtanzani Ndg Jacton Manyerere na amenithibitishia kuwa habari aliyoandika ni ya uhakika.

Idara ya Uenezi na Itikadi ya CCM ambayo ipo Chini ya Ndg Nape imeanzisha Mtandao wa Vyombo vya Habari na wana Habari Rafiki na Bloggers na amekuwa akikutana nao Mara kwa Mara.

Kutokana Taarifa za Gazeti la Mtanzania (Media House ambao si Rafiki na CCM kwa Sasa), media ambazo hazitahudhuria ktk mkutano wa Tar 13 na 14 mwezi huu utakaofanyika Morogoro ni Mwananchi Communication, New Habari, Hali Halisi na Free Media. Vyombo hivi si Rafiki wa CCM.

Na Bwana Jacton ansema doc ya FCCM inaonyesha uwepo wa Mpango Mkakati wa Kuanzisha FORUM itakayoitwa KWETUFORUM na pia utaanzishwa mpango halisi wa kuimaliza Jamii Forums.

Pamoja na mpango huu awali walikua wakutane Dodoma wakati wa kamati kuu na mnamo mwezi wa Tano Nape alifanya kikao makao makuu ya CCM na akakutana Bloggers na kuwaahidi kuwasaidia lakini waisaidie CCM ktk Mkutano huo alikuwepo Blogger mmoja wa Jinsia ya Kike anaeitwa Shamim kutokana na mahudhurio ya kikao hicho.

Kilichonishangaza ni baada ya kusoma Agenda za Mkutano ktk Gazeti la Mtanzania leo nimeshangaa katibu wa mpango huu ni dada ambaye sisi hapa Nipashe alikuwa haheshimiki na alisimamishwa kazi.

Binafsi hii ninailaani kwakua inaleta Taswira Mbaya na ninatarajia kuona Editors Forum wanalifanyia kazi kama CCM inatugawa wana Habari ktk Makundi ya Rafiki na Adui ni jambo baya kufanywa na chama kikongwe kama Hiki. Nadhani huyu dogo Nape amechanganyikiwa kabisa.

Nimeona niilete hapa Jamvini Tulijadili.

Story ipo ukurasa wa kwanza ktk Gazeti la Mtanzania na inaendelea ukurusa wa nane.

sisomagi mtanzania....ngoja leo nijaribu.
 
jamani eeeeh Peoples power au vipi.

Waache waanzishe hiyo forum.......wakali wa kuhack tupo hapa kama lengo lao ni baya basi imekula kwao. Maana wanadhani sisi tupo hapa kwa maslai ya CDM kummbe tupo kwa maslai ya nchi hii. Sasa basi aliye juu mfuate hukohuko na sisis tutawafuata huko huko sijui mtatupaje ban wakati elimu ya mtandao naifahamu kupita maelezo.

Unajua CDM ni chama kilicho tayari kutukusanya watanzania kwa ajili ya kudai haki zetu na kuutokomeza ufisadi ambao CCM hawathubutu kuukemea.

CHADEMA vema sana tupo pamoja makamanda wa ukweli.
 
Kufa MBONA SI TATIZO, ANAKUFA BINADAMU SEMBUSE TAASISI? Swala hapa SI kufa swala hapa kufa kwake ndo suluhisho la matatizo tuliyo nayo? mgao WA umeme Kenya umeletwa na CCM? MPAKA walifikia MAHALI wanafunga uwanja WA ndege ndege haziruki kiss mgao WA umeme, huko CCM IKO?

Ugumu WA maisha ZIMBABWE CHANZO BILA SHAKA CCM! vurugu zinazoendlea MALAWI, AFRIKA KASKAZINI NAKO CCM NDO INAYOSABABISHA...... KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI MWANZO WA UFUMBUZI WA TATIZO... NIELEZENI KUFA KWA CCM KAMA TAASISI KUTAMALIZAJE MATATIZO YA TANZANIA? Kwa HOJA pls SI MATUSI na kejeli Kama Huna HOJA tuachie wengine tujadili

Nape kumbe mweupe kiasi hiki?

Yaani na wewe unalialia na excuses? Sasa Kenya hapa inaingiaje?

Kwa hiyo kwa kuwa Kenya kuna tatizo na mgawo, basi ni halali na sisi kuwa na mgawo! Yelewi!

Unataka tuchangie kwa hoja wakati wewe mwenyewe huna hoja?

ngoja niende kuangalia mechi ya man u.
 
wanaJF orijino tusitetemeke ktk hili.Ngoja tutawasaidia kujenga hoja huko KF then ndio watajua kwa nini sisi ni wanaJF orijino.
 
Wana Jf

Nimesoma habari ambayo imenistua na imenibidi niongee na Mhariri wa Gazeti la Mtanzani Ndg Jacton Manyerere na amenithibitishia kuwa habari aliyoandika ni ya uhakika.

Idara ya Uenezi na Itikadi ya CCM ambayo ipo Chini ya Ndg Nape imeanzisha Mtandao wa Vyombo vya Habari na wana Habari Rafiki na Bloggers na amekuwa akikutana nao Mara kwa Mara.

Kutokana Taarifa za Gazeti la Mtanzania (Media House ambao si Rafiki na CCM kwa Sasa), media ambazo hazitahudhuria ktk mkutano wa Tar 13 na 14 mwezi huu utakaofanyika Morogoro ni Mwananchi Communication, New Habari, Hali Halisi na Free Media. Vyombo hivi si Rafiki wa CCM.

Na Bwana Jacton ansema doc ya FCCM inaonyesha uwepo wa Mpango Mkakati wa Kuanzisha FORUM itakayoitwa KWETUFORUM na pia utaanzishwa mpango halisi wa kuimaliza Jamii Forums.

Pamoja na mpango huu awali walikua wakutane Dodoma wakati wa kamati kuu na mnamo mwezi wa Tano Nape alifanya kikao makao makuu ya CCM na akakutana Bloggers na kuwaahidi kuwasaidia lakini waisaidie CCM ktk Mkutano huo alikuwepo Blogger mmoja wa Jinsia ya Kike anaeitwa Shamim kutokana na mahudhurio ya kikao hicho.

Kilichonishangaza ni baada ya kusoma Agenda za Mkutano ktk Gazeti la Mtanzania leo nimeshangaa katibu wa mpango huu ni dada ambaye sisi hapa Nipashe alikuwa haheshimiki na alisimamishwa kazi.

Binafsi hii ninailaani kwakua inaleta Taswira Mbaya na ninatarajia kuona Editors Forum wanalifanyia kazi kama CCM inatugawa wana Habari ktk Makundi ya Rafiki na Adui ni jambo baya kufanywa na chama kikongwe kama Hiki. Nadhani huyu dogo Nape amechanganyikiwa kabisa.

Nimeona niilete hapa Jamvini Tulijadili.

Story ipo ukurasa wa kwanza ktk Gazeti la Mtanzania na inaendelea ukurusa wa nane.
Uovu ni uovu tu, kamwe hauwezi kuwa wema. Kama ni kweli, inasikitisha..badala kujikita katika kutatua matatizo ya wananchi....hali itakayorudisha imani ya jamii kwa chama wao wanafanya mchezo wa kuigiza.
 
Wana Jf
Kilichonishangaza ni baada ya kusoma Agenda za Mkutano ktk Gazeti la Mtanzania leo nimeshangaa katibu wa mpango huu ni dada ambaye sisi hapa Nipashe alikuwa haheshimiki na alisimamishwa kazi.

Nyinyi hapo Nipashe hamjambo lakini?
 
......mgao WA umeme Kenya umeletwa na CCM? MPAKA walifikia MAHALI wanafunga uwanja WA ndege ndege haziruki kiss mgao WA umeme, huko CCM IKO? ..........

Nape ndhani ukiwa unakuja kujibu hoja za jf tafuta mtu atayekusaida kutathmini majibu yako kabla ya kuyapublish. unaweza kunipa ajira ya kazi hiyo. Maanaaa majibu yako
  • hayaoyeshi matumaini yoyote kwa "watanzania" zadi ya matumaini ya kufufua chama.
  • Busara
  • Kujali
  • yanaonyesha Kukiri matatizo yanyasiabishwa na CCM lakini kwa shingo upande

Je kama
somalia wamekumbwa na njaa inahaalisha na sisi tukubaliane na tatizo la njaa igunga na wilaya nyiingine kuwa ni mapnezi ya mungu na hali ya hewa na sio sera na mipango mbovu?

Kwa Kuwa kenya wana mgao tena wa muda mfupi basi iinahalalisha kuwa tTanzania tatizo la mgao tulilokuwa nalo kwa zaidi ya miak 10 sio kitu wananchi wanatakiwa kulalamika..

Nakushauri endelea kuvua magamba huko utapa credit sijui debit . baadhi ya hizi comment zako hapa Jf hazikutofautishi wewe na hao mnaowavua magamba . Otherwise tutaelewa ni sanaa mnafanya kuwatoa kafara wachahe kukiokoa chama na sio wananchi . I mean kw maelzo yako sioni kama CCM ia dhamiri ya kweli kufanya kazi ya wananchi
 
Kuna wakati CCM kinatenda kama bado ni chama cha ukombozi ndo maana hakiishi kusema vyanzo vyake vilileta uhuru. Sawa. Ninachoamini ni kwamba ni lazima tuzungumzie maendeleo zaidi kuliko kulialia. "Wakati wenzetu wanatembea inabidi sisi tukimbie".
 
Nimegundua tunamuonea Nape! Hana uwezo wa Kujibu Hoja ndiyo maana anachangia anaingia MITINI
 
Lat,
huoni wewe unajikosoa mwenyewe kwa kuuliza maswala ya uchumi wa ccm wa ndani huku ukijua yuko anayeshughulika nao? Pamoja na kwamba kama msemaji wa chama ninajua hilo unalouliza, lakini zingatia ushauri wako then uliza swali jingine.....

Nilipoingia hapa ilikuwa ni kujibu hoja ya mtandao wa marafiki wa ccm wa vyombo vya habari kama ilivyodaiwa, je haihusiani na idara yangu? Unapokuwa msemaji wa chama lazima uwe na uwezo wa kujua karibu mambo yote yanayoendelea ndani ya chama chako na ndo maana. ,kama mtanzania na msemaji wa chama kilichoko madarakani nikajibu na hoja zingine zilizoibuliwa nje ya mada....
Ukitaka hili la uchumi wa ccm wa ndani anzisha thread nitakuja kukujibu leo ninao muda wa kutosha....

MH. Vp ukuu wa wilaya umeishia wapi maana uko commt sana na magamba!
Sasa na amini jamaa aliamua kukunyamazisha kwa kelele zako zile...

Msemaji hunadata!
 
kufa mbona si tatizo, anakufa binadamu sembuse taasisi? Swala hapa si kufa swala hapa kufa kwake ndo suluhisho la matatizo tuliyo nayo? Mgao wa umeme kenya umeletwa na ccm? Mpaka walifikia mahali wanafunga uwanja wa ndege ndege haziruki kiss mgao wa umeme, huko ccm iko?

Ugumu wa maisha zimbabwe chanzo bila shaka ccm! Vurugu zinazoendlea malawi, afrika kaskazini nako ccm ndo inayosababisha...... Kujua chanzo cha tatizo ni mwanzo wa ufumbuzi wa tatizo... Nielezeni kufa kwa ccm kama taasisi kutamalizaje matatizo ya tanzania? Kwa hoja pls si matusi na kejeli kama huna hoja tuachie wengine tujadili

nape kumbuka kwamba mgao wa umeme tanzania hauna masika wala kiangazi na kwa kenya ni juzi tu umeanza baada ya huku tz kuwa mazoea.

Hayo matatizo ya zimbabwe na kwingineko yanasababishwa na watawara kama wahuku kwetu, ila ccm razima ishukuru kitu kimoja watanzania ni wavumulivu na waoga kuliko maelezo mimi na uhakika haya matatizo ya tanzania ingekuwa ni kenya watawala wangekuwa wameisha ondorewa zamani.

kenya inavyanzo vingi vya umeme ukiringanisha na tanzania? mimi kenya mgao wa umeme c shangai na hata wananchi hawawezi ilaumu serikari yao. Tanzania hii migao na kutokana na ufisadi kuanzia iptl iliyosainiwa na kikwete mwenyewe mpaka ndugu yake richimond.

nape razima mpambane na watu huhuhumu jf na c kuanzisha bog yenu. Mnaanzisha blog muwe mnapost maada nyie wenyewe na kuanza kuchangia nyie wenyewe na zitakuwa na maada za kusifia ccm na kuponda wampinzani.

Ccm leo hii wanaiona chadema ndo adui namba moja kwenye hii nchi ila vitu vingine kama hivi c hatari.
- ndege ya jeshi la qatar iliyo tua kia na kuondoka na wanyama bila kuonekana kwenye rada c adu

- wale wanyarwanda na wakongo waliovamia kagera na kujitangazia jamhuri yao c maadui hata kidogo
- ukosefu wa ajira, ajira zinatolewa kwa kujuana, na wano umia ni watoto wa masikini wasio kuwa na ndugu kwenye systea na hilo kwenu c tatizo
- wananchi kunyang'anywa aridhi kwa nguvu nyie hamulioni.
- wageni kuchukua ajira za wazawa hamulioni hilo kama ni tatizo
- maeneo ya wamachinga kufanyia biashara c tatizo kwenu

ila nape ipo siku isyo kuwa na jina, hakuna kisicho kuwa na mwisho chini ya jua,
iko wapi
ugoslavia?
Iko wapi ussr?- hawa waliamini ussr haina mwisho wake
iko wapi kanu?
uko wapi utawara wa rumi?yuko wapi mubaraka wa misiri?
hawa wote hamna hata siku moja waliozania kwamba tawara zao zingekuwa na mwisho na mtu aliye kuwa najaribu kuwashauri ilionekana adui na hata kuu wawa.

nape mwisho shukuruni kitu kimoja, watanzania wengi bado hawawezi ku acess mtandao wa internet na laiti nusu ya watanzania wangekuwa wanatumia mtandao wa internet na kuingia humu janvini au face book mgekuwa mmeisha ria siku nyingi sana
kwa sasa watu ambao bado mnawadanganya na wanaamini maneno yenu kwa 100% ni huko vijijini. Na hawa wanasikiliza redio tanzania tu make hii ndo redio ya propaganda za chama, hawajui redio zingine, hawajui hata face book nini mdudu gani hawajui jamii forum ni kitu gani.
Magazeti hawajui yanafananaje.

laiti hawa watu wengewea pata habari kutoka vyanzo vingine ukiacha redio tanzania
 
Lazima ieleweke kuwa serikali inayokimbilia kuleta wawekezaji wakubwa (migodi ya dhahabu n.k)bila kutafuta njia za kukuza nishati ya umeme,basi ni wazi kuwa ina ombwe la uongozi na ubunifu.hivyo haifai kuongoza taifa kama tz.
 
Nape, haya kazi kwenu CHADEMA wamesha onesha njia ya kuwamwaga wanaokichafua chama.

Kazi kwenu sasa CCM maana kila siku mnasukumiana mpira tu, maamuzi magumu kila mtu anayakwepa.

Septemba hapo ndio tutajua hasa pumba ni zipi na mchele ni upi, hii ya kufungua blog sijui nini yote ni kazi bure kama maamuzi magumu hayafanyiki...
 
hicho chama kinachokufa wamechanganyikiwa badala yakutuambia umeme tunapataje
sasa wanafanyia kitu ambacho akiwasaidii nani atapoteza muda wake kupost mambo ya
kuwasaport hawo magamba na wachomvu walochoka wataumbuka sana wajitahidi
kusaidia uhuru na mazalendo
 
Back
Top Bottom