CCM yadaiwa kuanzisha Forum yake; Nape akanusha

Radio wanazo, tv wanazo, magazeti wanayo, vyombo vya dola wanavyo, lakini bado hawajatuziba midomo
aikli zetu bado ni zetu tu na maamuzi na mitazamo bado ni yetu tu. Haturudi nyuma zaidi ya kusonga mbele
 
This make the whole thing even much more enteresting ...more fun in the game..

Welcome Nape, welcome to the club ... we are very well prepared and you honestly know this!!!
 
Nape hatuendi hivyo!!sisi vijana wenzio unatuangusha!zpo njia nying tu na nzuri za kujenga chama.acha papara!
 
Kwa hoja hawataweza kuimaliza jamii forums...labda wajaribu cyber attack....! lakini hata wakijaribu cyber attack itakula kwao ...maana ma hackers tupo fit hapa!
Jana niliona kama cyber attack ilitokea.... Au ulikuwa ni mtandao wangu tu?
 
Ndugu kwa nini uogope leo wakati hiyo kazi alikuwa nayo RA kabla?unajua sababu za ulimwengu kujitoa RAI?tumsubili ailete hiyo forum itapata wachangiaji kama tu wakigawa pesa kama walivyozoea.
 
Mimi ndiye Mkuu wa Idara ya ccm ya itikadi na uenezi, kwanza nimesikitishwa sana na uzushi huu wa kunihusisha mimi binafsi na idara yangu na mpango huu haramu. Nataka kuthibitisha hapa hautokani na idara yangu ya itikadi na uenezi na wala mimi mwenyewe binafsi kama Nape siufahamu.

Hakuna kikao nimewahi kukaa na hao wanaotajwa kuwa marafiki wa CCM.

Sijawahi kuwa na kikao nao wala mpango na siwajui, sasa uongo mwingine hapa mara wamefanya kikao na nape mara wamepanga kikao ni upuzushi ambao unastahili kupuuzwa. ....naamini lengo la mchezo huu ni kukigombanisha chama na baadhi ya vyombo vya habari na kunigombanisha binafsi mimi na baadhi ya vyombo vya habari..... Kumbukeni ni mimi ndo nimekua nikifanya ziara kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, then eti niandae mkakati wa kuvitenga baadhi.

Nimesikitishwa na hili.
Na Kagoda vipi? Kama una uchungu na nchi hebu tueleze
 
Na Kagoda vipi? Kama una uchungu na nchi hebu tueleze, usipojibu najua CCM TOP LEADERS WANAHUSIKA
 
Sasa wewe umeleta hii topic ijadiliwe na tayari umeshaonyesha prejudice. You ostensibly seems to be skeptical about the forum to be launched, but in reality you have personal grudges against the lady. I am afraid this is not the right platform for slandering other's personalities.


You're the one in the wrong platform.
 
Am just curious, what is FRIENDLY MEDIA for? What does it do? Eventhough you can make people believe that black is white, Surely you cant turn black to white through the media. The reality of life is what is turning people against CCM, it's not only the media that is causing it. What do they want the media to say, that it's fair to sell a company worth 12 bil for 280 mil of which 200 was paid to a personal account!! They want the media to say that the electricity rationing is caused of draught and nothing more!

It's not that they dont have friend media, but the problem is there are despised by the readers. People used to have so much respect for Rai when it was under Jenerali Ulimwengu, but look at it when Rostam took over, people stopped reading it. People want reality not fabrication.

They have to change the situation and the the media.
 
kazi wanayo wandugu ccm tutaingia na kuchangia kama watakuwa wameleta hoja ya ukweli na inakubalika kuitolea mchango wa kimawazo
 
wacha waanzishe nijuavyo la kutota halina ubani hata wafanyeje watashindwa na kurudi kulekule kwenye uhuru na mzalendo wengi wao wakon kwenye harakati za kuifilisi nchi.
 
Inawezekana mtoa mada alikuwa anazungumzia hii siku. Sijui kama hawa walichaguliwa kukutana na Nape au vipi na lipi lilizungumzwa. Inawezekana pia kuna mchanganyo wa madesa kwavile Nape anaonekana kushangazwa na mtoa mada. However hii habari is from (Shamim-8020 blog- Friday June 24, 2011)

NAPE NAUYA AZIFAGILIA WAVUTI


YAP!! Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye,leo amekutana na wanawavuti na kutupa BIG UP na kuafidi kutupa shavu la nguvu kwa kazi tunazofanya za kuelimisha na kuburudisha jamii
_MG_2571.jpg

116.jpg

nape-4.jpg

 
Magwanda ni waoga sana, mnaogopa nini? kwani uongo? kuna magazeti, hayo aliyoyataja mtoa mada, hayana kabisa chema chochote yanachoandika ama cha serikali ama cha CCM.

Na Nape ndio mtajuwa ni nani mwaka huu, jamaa kawakata makali kwa muda mfupi sana. Na leo tunaona baada ya kurudi safari yake ya Moshi na Arusha ofisi za magwanda wanazifunga wenyewe huko. Afanaalek, kufa hakuna brek!
 
Magwanda ni waoga sana, mnaogopa nini? kwani uongo? kuna magazeti, hayo aliyoyataja mtoa mada, hayana kabisa chema chochote yanachoandika ama cha serikali ama cha CCM.

Na Nape ndio mtajuwa ni nani mwaka huu, jamaa kawakata makali kwa muda mfupi sana. Na leo tunaona baada ya kurudi safari yake ya Moshi na Arusha ofisi za magwanda wanazifunga wenyewe huko. Afanaalek, kufa hakuna brek!
umeamua kuwa kipofu usitazame magamba kinavyo angamia, hakika mnakwenda na maji hapa hakuna cha ohh magwanda sijui nani, kwa kifupi mna hali mbaya
 
Da ni kweli mbaya sana ccm kutugawa namna hii that is not fear! ccm hamuionei huruma nchi hii jamani, jisafisheni na mumshauri raisi wenu vizuri badala yake nepi anazidi kuharibu tuuu! HUU MPANGO SI MZURI KWA MANUFAA YA TAIFA!

kugawika kwa wanahabari hakukuanza leo>na wala umoja kwa wanahabari siyo dalili ya ukomavu> kumbuka hata katika msafara wa fani hii kenge wapo>kwani usitulazimishe kuwa uonacho wewe ndiyo sahihi>anayefukuzwa kazi si wakati wote hananidhamu, tumeona wanaharakati wengi wakikatishwa kazi, hebu kwakweli tuache kuwa bias.
 
Ni upuuzi mtupu juhudi zao zingeanzia kulikoni gazeti la uhuru na mzalendo jitihada zao nazifananisha na kupanda mbegu zilizokaangwa kutegemea kutoa mazao.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom