Sabayi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 2,310
- 991
Awali ya Yote naipongeza Serikali kwa kuanza Kujenga hilo daraja la Mbutu ambalo ni kiunganisho muhimu sana cha mawasiliano kwa wakazi wa wilayani Igunga mwisho wa siku wananchi sio kwamba tunataka ccm,CDM,tlp au cuf bali ni maendeleo na uwajibikaji.Lakini ni kwanini limeanza kujengwa muda huu? Is it a coincidence? Au ni kujipanga kwa ccm kwenye uchaguzi wa marudio Igunga? Wakija na evidence ya walichowafanyia tayari wananchi? Je wakishindwa tena uchaguzi wa marudio kabla hilo daraja halijaisha bajeti ya kuendelea kulijenga itakuwepo? au nalo litaishia hapo hapo tukaimbiwa wimbo wa kila siku kuwa Kasungura ni kadogo hakatoshi?