CCM yaanza kufanya uharamia na vurugu Arumeru

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
CCM imeanza kufanya vurugu na uharamia wa kiwango cha juu Arumeru.

Leo majira ya saa tatu asubuhi viongozi wa ccm wakiongozwa na Kingazi ambaye ni katibu wa ccm wa wilaya ya Moshi na akiambatana na Ndekubali, wamemteka mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Magadrisho kata ya Usa river. Utekaji huo ulifanyika wakiwa na gari aina ya pick up Ford namba DFP 5481. Baada ya kumteka wakampeleka kwenye kambi kumshushia kichapo, kwa sasa mwenyekiti huyo aliokolewa na Polisi,na amepewa PF3.

Polisi pia wamemshikila Mh Msigwa mbunge wa CHADEMA kwa tuhuma za kuhusika na vurugu za jana zilizotokea jana eneo la maji ya Chai, baada ya vijana wa green guard kuwavamia CHADEMA kwenye gest waliyofikia. Katika tukio hilo gari la CCM lilivunjwa vioo vya nyuma.
 
Mie nadhani hakuna haja ya kuwalea hawa Green guard. Tembezeni kichapo kila watakapo waanzishieni sekeseke mpaka wakae sawia.
 
Mie nadhani hakuna haja ya kuwalea hawa Green guard. Tembezeni kichapo kila watakapo waanzishieni sekeseke mpaka wakae sawia.

unajua siyo green guard pekee kuna na magenge mbalimbali yaliyowekwa kwa ajili ya kuchapa watu!yote haya yana mwisho lakini
 
hivi hii nchi kwa nini vyama visiruhusiwe kuanzisha majeshi yao? tutwangane ,tubakane ndo tutaheshimiana bana ...inakera sana
 
Sasa ccm wanapita wakijitanza chama cha amani wakati wao ndo wanaanzisha vurugu jamani hawa ccm wangekuwa wamewatimizia wananhi wao mambo waliyowahahidi leo wasinge kuwa na wakati mgumu wa kufanya kampeni mbaya zaidi wananchi wa Arumeru mashariki wana shida ya maji mfano maeneo ya maroroni ngarenanyuki badala wao walete maji ya kunywa wao wanaleta maji ya kuwasha hawa jamaa vipi?
 
Kama CCM wanaitakia mema Tanzania huu ni wakati wa Kutrain makada na vijana wao kukubali kushindwa na kuzidiwa hoja. Wakiendeleza slogan zao za 'ushindi lazima', 'ushindi kwa vyoyote' watakuwa wanapanda mbegu ya maafa bila kujijua.
 
Hizo mbinu ni za kizamani sana, wanaleta vurugu wao ili ionekane CDM ndio wanaleta fujo. Kilichopo hapo wanarumeru walianzishe tu mpaka tuheshimiane. Si waliona ya Kenya na Rwanda sasa hivi watu wanaheshimiana. CCM kama watu wamewachokeni kaeni pembeni.
 
Watashindana na nguvu ya umma lakini hawatashinda kamwe. Wao wana dola sisi tuna watu na Mungu.
 
Ukimnyanyasa mtu sana mwisho wa siku mtu huyo atatafuta mbinu ya kukomesha manyanyaso hayo. Na mara nyingi mwisho huo sio mzuri. Unaweza kuwa wa gharama kubwa.

Jukumu la kwanza kwa serikali yoyote iliyo madarakani ni kulinda usalama wa raia wake. Hii ni kwa mujibu wa International law. Na inapotekea kwamba serikali hiyo inashindwa kutekeleza jukumu hilo (kulinda raia) basi international community inawajibika kutoa ulinzi huo. Kuna kila dalali kwamba serikali ya ccm inaanza kushindwa kutambua wajibu wake kwa raia. Igunga wamekufa watu, Nyamongo, Songea, Mbeya na sasa Meru iko mbioni.

Serikali isisubiri kutembelewa na 'envoy wa Ban-ki-moon. Ikitokea hivyo wajue mchicha umeshakuwa mbuyu. Sio kama Ban-ki-moon haoni, sio kama Ocampo haoni, bali wanachukua notes! Kama hawaani wamuulize jirani yao Uhuru Kenyatta.
 
[/CENTER][/RIGHT][/LEFT]mkuu mimi nafikiri hapa ni kujibu mapigo tuone nani atakimbia Arumeru kabla ya uchaguzi haingii akili ikawa chadema kwani hawana jeshi,wanachakuwa ambia wananchi so wanahoja hizi ni dalili za Magamba kuishiwa wanaanza kutuia nguvu wachawi wakubwa hawa.
 
hivi hii nchi kwa nini vyama visiruhusiwe kuanzisha majeshi yao? tutwangane ,tubakane ndo tutaheshimiana bana ...inakera sana

sidhani kama umefikiria. Kama ndivyo wahi Muhimbili kabla madaktari hawajagoma tena
 
i heard them saying, there are only bribings, Lord the babes and the sucklings, making promises they can't keep and them never will. I see so many innocent begging for the guilty, but the blind is the victim in the land of evil sighted. Where there's no vision, man the people suffer, see them cornered by their judgements, and they're consumed by their hatred.
 
Wana Arumeru pambaneni na udhalimu huu wa CCM msikubali rudisheni kwani wamezidi wakimwaga ugali mwaga mboga. Amani ila kwa ncha ya upanga.Pumbavu CCM pumbavu Polisi na mwisho wao unakaribia. Jamani tusilalame ila tuwatie nguvu ndugu zetu wameru
 
CCM imeanza kufanya vurugu na uharamia wa kiwango cha juu Arumeru.

Leo majira ya saa tatu asubuhi viongozi wa ccm wakiongozwa na Kingazi ambaye ni katibu wa ccm wa wilaya ya Moshi na akiambatana na Ndekubali, wamemteka mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Magadrisho kata ya Usa river. Utekaji huo ulifanyika wakiwa na gari aina ya pick up Ford namba DFP 5481. Baada ya kumteka wakampeleka kwenye kambi kumshushia kichapo, kwa sasa mwenyekiti huyo aliokolewa na Polisi,na amepewa PF3.

Polisi pia wamemshikila Mh Msigwa mbunge wa CHADEMA kwa tuhuma za kuhusika na vurugu za jana zilizotokea jana eneo la maji ya Chai, baada ya vijana wa green guard kuwavamia CHADEMA kwenye gest waliyofikia. Katika tukio hilo gari la CCM lilivunjwa vioo vya nyuma.

:attention:Aisee ni kweli ----- THIS IS THE RIGHT TIME FOR FREEDOM OF THE YOUNG GENERATION. Unajua .Yesu kutukomboa kwenye DHAMBI lazima amwage DAMU, KUPIGWA, na KUFA. Nothing comes free one has to fight for it kwa hivyo sisi WaTanzania tukubali tuu piga uua lazima to N'GOE CHAMA CHA MAFISADI, CHAMA CHA MAMAFIA, madarakani this time and it will start hapa ARUMERU. Atukubali. Watembeze mihela yao lakini safari hiii hata wazee wamechoka. HUREEEEY CHADEMA BIG UP.
 
inasikitisha sana kwa kweli.

You know most of the CCM guys have less basic education. Majority wao nimavihiyos forged Certificates kwa hiyo lazima wafanye mavitu kulingana na akili zao inavyowatuma. WAMEKUISHA SERA ---- WAJINGA SANA

Angalia Mkapa --- Mfisadi No. 1 ---- ajibu basi tuhuma ??? Muuaji ---- Asubiri tuu ---- Yeye ataenda kwa Ukampo ila tutamburuza chini kama Samwel Doe wa Liberia. Ametufanya sisi wa TAnzania masikini mpaka watoto wetu. Dawa yao iko jikoni inachemuka.
 
Back
Top Bottom