CCM yaanza kuaga Ikulu...

Mnataka demokrasia, mlipiga kelele kuwa mmeibiwa kura mnaletewa demokrasia mnalalamika.

Hamna njia ya kuitoa CCM Ikulu kwa kuwa bado wengi wa viongozi wenu hawana zaidi ya ukabila na udini, Tanzania ni nchi ya watu wenye makabila tofauti na imani tofauti na wasio kabisa na dini.

Usione kundi la sehemu fulani linapigia debe sana kwa kuwa tu limemimnywa mianya yao yote ya kuwanyonya walio wengi, kumbuka hiyo ni jamii ndogo sana ya Watanzania. Nchi hatuwapi hata mfanye nini na ile mirija ndio tunaikata hivyo.
 
Mnataka demokrasia, mlipiga kelele kuwa mmeibiwa kura mnaletewa demokrasa mnalalamika.

Hamna njia ya kuitoa CCM Ikulu kwa kuwa bado wengi wa viongozi wenu hawana zaidi ua ukabila na udini, Tanzania ni nchi ya watu wenye makabila tofauti na imani tofauti na wasio kabisa na dini.

Usione kundi la sehemu fulani linapigia debe sana kwa kuwa tu limemimnywa mianya yao yote ya kuwanyonya walio wengi, kumbuka hiyo ni jamii ndogo sana ya Watanzania. Nchi hatuwapi hata mfanye nini na ile mirija ndio tunaikata hivyo.

NIa yako nini hasa? Kuitetea CCM au kujipendekeza. Kilichokuwa na mwanzo hakikosi kuwa na mwisho.
 
wezi wenzake wanalia lia saana
Aamekwenda mwenyewe...

wakwepa kodi wanalia lia saana
CCM aamekwenda mwenyewe...

wahujumu uchumi wanalia lia saana
CCM aamekwenda mwenyewe...

Na mafisadi wanalia lia saana
CCM amekwenda mwenyewee

Kaburi ni mwanzo
Aaae ni mwaanzo, ni mwanzo,
Kaburi ni mwanzo wa kuingia Mbinguni
 
Mnataka demokrasia, mlipiga kelele kuwa mmeibiwa kura mnaletewa demokrasia mnalalamika.

Hamna njia ya kuitoa CCM Ikulu kwa kuwa bado wengi wa viongozi wenu hawana zaidi ya ukabila na udini, Tanzania ni nchi ya watu wenye makabila tofauti na imani tofauti na wasio kabisa na dini.

Usione kundi la sehemu fulani linapigia debe sana kwa kuwa tu limemimnywa mianya yao yote ya kuwanyonya walio wengi, kumbuka hiyo ni jamii ndogo sana ya Watanzania. Nchi hatuwapi hata mfanye nini na ile mirija ndio tunaikata hivyo.
kama sio wadini hayo makanisa wanachoma wakina nani?
 
sisiem kinaendea kupata anguko maana chama hakiwezi kufa.. kitakuwa chama cha upinzani
 
ccm itakuwa chama kidogo cha upinzani kama ilivyotokea kwa KANU na kamwe hakitakuwa chama kikuu cha upinzani

RIP ccm
 
Back
Top Bottom