ccm ya sasa ni maafa,ukimwi, na mzigo wa taifa

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
ccm ya leo ya lowasa,rostam, na jk, imejaa idadi kubwa ya wezi, magaidi, mafisadi,wabinafsi, wakwepa kodi, matapeli,watu wanaopenda maisha ya chapu chapu, wavivu, na watu wasiomogopa MUNGU.ccm ni mzigo kwa taifa na laana.tunahiji chama kinachoweka maslahi ya taifa mbele na sii ya wafisadi.
 
Yaani afadhali ya ukimwi una dawa ya kupunguza makali, maana haya makali ya maisha kwa watanzania. M
 
ccm inakusanya kodi kwenye makampuni.makampuni haya hayalipi kodi tra.pesa nyingi zinaliwa na wanasiasa badala ya kwa ajili ya maendeleo ya taifa hata angalao kuwalipa polisi na wanajeshi kinua mgongo cha kutosha.wengi polisi, askari, usalama wa taifa wa vyeo vya chini huwa wanakua wezi au matapeli baada ya kustaafu au wakiwa kazini.wengine wanalala kwenye vibanda vya kuku.
 
The incumbent rulers we have, as you may notice as always, want wananchi to act small, think local! It makes them so much manageable. The layers on the rubbish pit of our country's graft has been deposited so deeply in various sectors of the society and now it's thick!
 
Back
Top Bottom