CCM ya Kikwete kama Uzao wa Kambale.

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Jamani ukweli ni kwamba Chama Cha Mapinduzi chini ya Jakaya Mrisho Kikwete kimekuwa kama Uzao wa Samaki Kambale kwani hakuna wa kumkemea mwenzake kwani Samaki Kambale wote wana Sharubu huwezi tofautisha mkubwa na mdogo,mke na mume hakika hata wakijivua gamba hakuna tofauti bado mwonekano utakuwa huo huo.
 
Kwa hiyo unataka sisi tufanye nini. Si umeshafanya conclusionyako tayari?
 
Jamani ukweli ni kwamba Chama Cha Mapinduzi chini ya Jakaya Mrisho Kikwete kimekuwa kama Uzao wa Samaki Kambale kwani hakuna wa kumkemea mwenzake kwani Samaki Kambale wote wana Sharubu huwezi tofautisha mkubwa na mdogo,mke na mume hakika hata wakijivua gamba hakuna tofauti bado mwonekano utakuwa huo huo.

safiiiiiiiiiiiii! Kwanza siku zote nyoka akijivua gamba ndio kwanza anakuwa mkali!
 
Back
Top Bottom