Ccm ya fisadi hela ya ngorongora conservation

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Ngorongoro conservation imetoa milioni mia 2 kwa ajili ya kampeni za arumeru mash ,wakati wananchi wa ngorongoro hawana hosp wa la zahanati maji na madawati shuleni. Ngorongoro conservetion ni mali ya serikali sio ya ccm ni mali ya watanzania.ewe mrunya, msekwa na maige hiyo sio mali yenu ni mali ya umma.
 
Mkuu sishangai kwa sababu mashirika mengi ya uma yamekuwa yakilazimishwa kutoa pesa za kusaidia kampeni za CCM na si Ngorongoro pekee
 
Back
Top Bottom