CCM wazidi kugaragazwa na CHADEMA

Nov 24, 2010
54
3
katika hali ya kuonyesha mwisho wa CCM uchaguzi wa serikali ya wanafunzi MASO ktk chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu nyerere chuo ambacho hapo awali kilikuwa cha MAKADA matokeo yametoka na kuonyesha kuwa kada wa CCM Mahendeka Nsena amegalagazwa vibaya na kijana mdogo Chacha Nchangwa aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA.
Peopl'z power imeendelea kuonyesha makali.Taarifa zimethibitisha kuwa kada huyo alitumia zaidi ya millioni tatu ili kuukwaa uraisi ila wapi!!!!
management ilijitahidi kuchakachua matokeo ila wapi!!!!!ilishindikana.

people'ssssssss...power
 
kumbe hivo tu...!!!
na hapo washukuru kuwa hicho chuo hakibagui wanafunzi kutokana na itikadi zao, la sivyo asingesajiliwa kwa masomo huyo wa CDM...!!

CCM msikate tamaaaaa huu ndo muda wa kujipanga na kuja na nguvu mpya uchaguzi ujao wa chuo. CCM hoyeeeee....!!! kidumu chama cha mapinduzi, ndg wajumbe napenda kuwasilisha.
 
Hata uchaguzi wa mwenyekiti wa makondakta nchini nako CCM chali.

Labda watashinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Maiti zote nchini!
Poleni CCM,
Pole JK.
 
Hao vijana wameenda chuo kusoma or kujiingiza kwenye siasa? Poor Tanzania, kwa mtindo huu hatutafika!
 
katika hali ya kuonyesha mwisho wa CCM uchaguzi wa serikali ya wanafunzi MASO ktk chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu nyerere chuo ambacho hapo awali kilikuwa cha MAKADA matokeo yametoka na kuonyesha kuwa kada wa CCM Mahendeka Nsena amegalagazwa vibaya na kijana mdogo Chacha Nchangwa aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA.
Peopl'z power imeendelea kuonyesha makali.Taarifa zimethibitisha kuwa kada huyo alitumia zaidi ya millioni tatu ili kuukwaa uraisi ila wapi!!!!
management ilijitahidi kuchakachua matokeo ila wapi!!!!!ilishindikana.

people'ssssssss...power

Kwani chaguzi za vyuo nazo kila chama kina simamisha mgombea?
 
Hata uchaguzi wa mwenyekiti wa makondakta nchini nako CCM chali.

Labda watashinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Maiti zote nchini!
Poleni CCM,
Pole JK.

Kipimo kizuri ni Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2013 ndipo mtajua kama CCM imechoka! Chaguzi za kuchagua vilanja vyuo vikuu sio kipimo!
 
ushuzi mwingine tena unaleta rejao.kamwone dr utakuwa siyo mzima wewe.

Matusi ya nini sasa! Nenda kasome usipoteze muda hapa JF na mambo yako ya kijinga ya siasa za vyuo! Rais wa chuo ni kilanja tu wa chuo sasa unataka watu wapoteze muda kujadili upuuuzi wako wa cheap politics za chuo! What a shame!
 
Hao vijana wameenda chuo kusoma or kujiingiza kwenye siasa? Poor Tanzania, kwa mtindo huu hatutafika!

Umesahau, kile ni chuo cha siasa naona hukifahamu, zamani kilikuwa kinanoa makada wa chama kimoja baada ya kuwa vingi kikajichanganya na ndo maana CDM wanaweza kupata umaarufu.
 
Hao vijana wameenda chuo kusoma or kujiingiza kwenye siasa? Poor Tanzania, kwa mtindo huu hatutafika!

You are not serious siasa haiwezi kutenganishwa na elimu!! hivi hujui kile chuo kinatoa shahada sayansi ya jamii? how can you prevent these people from participating in politics???
 
Fr-e-e-dom x 2 Freedooooom is coming, TOMORROW!
Get reeady freedooom...maaama.......Freedom is coming tomorrow!
Get reeady freedooom...baaaba.......Freedom is coming tomorrow!
Tan-ntaaata, tan-taata....Freedom is coming tomorrow!
By Sarafina
 
ha ha ha ha ! nashangaa wanaosema chuo ni kusoma tu.....wanajidanganya kwa sabab maamuzi karibia yote yanayogusa asasi za elimu nchini yanafanywa na wanasiasa, ni uzuzu kuwaambia w/funzi washiriki siasa.
cha msingi ni wao kuwa objective na mambo ya msingi lakini siasa lazima ipo vyuoni na itaendelea kuwepo ndio maana mwenyekiti wa chama cha magamba kamwe hawezi kufika pale mlimani na kuuza story zake anajua kitakachompata.
 
Back
Top Bottom