CCM waua na kumvunja mguu kada wa CHADEMA Mwanza

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Ni kata ya Kirumba jijini Mwanza wiki iliyopita siku ambayo Dr.Slaa alihutubia.Wafuasi wa CCM walimpiga na kumvunja miguu kada mmoja wa CDM na Mwingine maarufu kama RASI walimpiga na alifariki Dunia muda mfupi baada ya kufikishwa kituo cha Polisi Kirumba:Ajabu Jeshi la Polisi na Media wako kimya mpaka sasa.

Hali ya CCM ni mbaya sana huku CDM chini ya uongozi wa wabunge Wenje,Kiwia,Machemuli na madiwani wote wa CDM,bila kuwasahau BAVICHA jijini Mwanza wakiwa wamejizatiti vilivyo kuitetea kata hiyo,kampeni nizile za nyumba kwa nyumba,mtu kwa mtu,kitanda kwa kitanda na mtaa kwa mtaa.Mpaka dakika hii makamanda wanashambulia katika kitongoji cha Kabuhoro huku zomea zomea kwa mgombea wa CCM ikizidi mitaani na mpaka sasa ameamua kutembelea gari ambalo ni TITEND.Jumamosi ZITO KABWE atakuwepo kuhitimisha kampeni na ndiye aliyezindua pia kwa kishindo

Toka Kirumba Mwanza ni mimi Kamanda IDIMULWA wa JF kanda ya Ziwa.
 
Haaaaah!!!!
Hawa jamaa ni hatari sana, huko Arusha nasikia kada mmoja kapotea siku tano saizi.

Hawa magamba hawafai kabisa.
 
Ni kata ya Kirumba jijini Mwanza wiki iliyopita siku ambayo Dr.Slaa alihutubia.Wafuasi wa CCM walimpiga na kumvunja miguu kada mmoja wa CDM na Mwingine maarufu kama RASI walimpiga na alifariki Dunia muda mfupi baada ya kufikishwa kituo cha Polisi Kirumba:Ajabu Jeshi la Polisi na Media wako kimya mpaka sasa.

Hali ya CCM ni mbaya sana huku CDM chini ya uongozi wa wabunge Wenje,Kiwia,Machemuli na madiwani wote wa CDM,bila kuwasahau BAVICHA jijini Mwanza wakiwa wamejizatiti vilivyo kuitetea kata hiyo,kampeni nizile za nyumba kwa nyumba,mtu kwa mtu,kitanda kwa kitanda na mtaa kwa mtaa.Mpaka dakika hii makamanda wanashambulia katika kitongoji cha Kabuhoro huku zomea zomea kwa mgombea wa CCM ikizidi mitaani na mpaka sasa ameamua kutembelea gari ambalo ni TITEND.Jumamosi ZITO KABWE atakuwepo kuhitimisha kampeni na ndiye aliyezindua pia kwa kishindo

Toka Kirumba Mwanza ni mimi Kamanda IDIMULWA wa JF kanda ya Ziwa.

hawa ccm wameishiwa sera wakaamua kutukana na sasa wameona haitoshi wameamua kuuwa na hizi dhambi za watu wasiokuwa na hatia ndizo zitakazofanya hitimisho lao la kubaki madarakani
 
Chadema wamechukua hatua gani? Tungependa(wananchi) kuona hili linakomeshwa sasa hatuwezi kukomesha hili kama hatutachukua hatua.
 
Vibaka hao, waetaka kuiba wakala mkong'oto, hamsemi kweli tu!
 
Ni kata ya Kirumba jijini Mwanza wiki iliyopita siku ambayo Dr.Slaa alihutubia.Wafuasi wa CCM walimpiga na kumvunja miguu kada mmoja wa CDM na Mwingine maarufu kama RASI walimpiga na alifariki Dunia muda mfupi baada ya kufikishwa kituo cha Polisi Kirumba:Ajabu Jeshi la Polisi na Media wako kimya mpaka sasa.

Hali ya CCM ni mbaya sana huku CDM chini ya uongozi wa wabunge Wenje,Kiwia,Machemuli na madiwani wote wa CDM,bila kuwasahau BAVICHA jijini Mwanza wakiwa wamejizatiti vilivyo kuitetea kata hiyo,kampeni nizile za nyumba kwa nyumba,mtu kwa mtu,kitanda kwa kitanda na mtaa kwa mtaa.Mpaka dakika hii makamanda wanashambulia katika kitongoji cha Kabuhoro huku zomea zomea kwa mgombea wa CCM ikizidi mitaani na mpaka sasa ameamua kutembelea gari ambalo ni TITEND.Jumamosi ZITO KABWE atakuwepo kuhitimisha kampeni na ndiye aliyezindua pia kwa kishindo

Toka Kirumba Mwanza ni mimi Kamanda IDIMULWA wa JF kanda ya Ziwa.

Hii sasa mbaya hata kama ni kutafuta madaraka si hivi jamani. Hivi media na vyombo vya dola mpo wapi jamani onesheni haya mavitu watu waone uozo wa wanaowaongoza, they are no longer leaders but monsters ready to kill for power.
 
Back
Top Bottom