CCM watoa 70,000 mkono wa pole wanafunzi wa Idodi

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Tukiwa bado tuna majonzi kwa wanafunzi walio ungua moto bwenini shule ya sec. Idodi, CCM wametoa mkono wa pole 70,000/= ametangaza mwenyekiti wa CCM Mkoa Iringa Jah People huku shule ya msingi Idodi wametoa 500,000/=.
Mheshimiwa Lukuvi ametoa 1,200,000/=
Mheshimiwa Prof.Msola ametoa 500,000/=
Mheshimiwa Anna Makinda ametoa 100,000/=
Walio bakia wamechangia na kufikia 500,000/=

The more Dataz
--Mh.Lukuvi amewaambia wananchi wake wasisumbuke kuanza kufyatua tofali ameaidi kutoa mil.10 kwa ajili ya ukarabati wa bweni.
--Mmiliki wa mabus ya Upendo ya Dar-Iringa na Dar-Njombe ambaye ni diwani wa Idodi aliahilisha safari za Dar na kubeba waombelezaji toka Iringa mjini kwenda Idodi kuhudhuria mazishi.
Respect wakuu
Nawakilisha.
 
Last edited:
Umefuta baadhi ya sifuri upande wa kulia?
CCM wametoa mkono wa pole 70,000/= ametangaza mwenyekiti wa CCM Mkoa Iringa Jah People

Huyo Jah awe seriazi
 
Umefuta baadhi ya sifuri upande wa kulia?Huyo Jah awe seriazi

Mkuu ni kweli ngoja niweke na wengine walio toa mkono wa pole huyo ndo mwenyekiti wa Mkoa alafu kawakilisha Kitaifa kama CCM. Mtafute Makamba
 
Tukiwa bado tuna majonzi kwa wanafunzi walio ungua moto bwenini shule ya sec. Idodi, CCM wametoa mkono wa pole 70,000/= ametangaza mwenyekiti wa CCM Mkoa Iringa Jah People huku shule ya msingi Idodi wametoa 500,000/=.
Mheshimiwa Lukuvi ametoa 1,200,000/=
Mheshimiwa Prof.Msola ametoa 500,000/=
Mheshimiwa Anna Makinda ametoa 100,000/=
Walio bakia wamechangia na kufikia 500,000/=
Respect wakuu
Nawakilisha.

Huu utani waCCM bwana duh. Eti wanajifanya Chama hakina hela sijui wanamzuga nani vile?? Wanataka kusema akina Lukuvi na Msolla wana hela kuliko chama kilichoshika utamu. Shame on them???
 
Huu utani waCCM bwana duh. Eti wanajifanya Chama hakina hela sijui wanamzuga nani vile?? Wanataka kusema akina Lukuvi na Msolla wana hela kuliko chama kilichoshika utamu. Shame on them???

Mkuu inatia uchungu sana licha ya kuziuza rasilimali zetu walizo kalia wameshindwa hata kujikosha kwa wapiga kura wao?
 
Tukiwa bado tuna majonzi kwa wanafunzi walio ungua moto bwenini shule ya sec. Idodi, CCM wametoa mkono wa pole 70,000/= ametangaza mwenyekiti wa CCM Mkoa Iringa Jah People huku shule ya msingi Idodi wametoa 500,000/=.
Mheshimiwa Lukuvi ametoa 1,200,000/=
Mheshimiwa Prof.Msola ametoa 500,000/=
Mheshimiwa Anna Makinda ametoa 100,000/=
Walio bakia wamechangia na kufikia 500,000/=
Respect wakuu
Nawakilisha.

Mkuu wewe upo kwenye kundi hili la waliobaki?
 
CCM wamemalizia pesa zao kule kwenye CC na NEC sasa tusemeje jamani .huu ni utani wa mwaka mzima lakini siku zao zina hesabika .Lukuvi anataka kumvaa Msola nini ama ametoa alicho nacho ? Maana kampeni zinatufanya watu twende mbio kabisa.
 
Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wana ccm woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
CCM wamemalizia pesa zao kule kwenye CC na NEC sasa tusemeje jamani .huu ni utani wa mwaka mzima lakini siku zao zina hesabika .Lukuvi anataka kumvaa Msola nini ama ametoa alicho nacho ? Maana kampeni zinatufanya watu twende mbio kabisa.
Nadhani Lukuvi yupo Isimani na Msola Kilolo. Mh 70,000 hii aibu sasa bora wangekaa kimya. Tena hawa CCM huwa wanachukua majimbo kilaini sasa Iringa ukiondoa ule ushindi wa NCCR wa 1995
 
yah, kuna kaka yangu yuko huko iringa na alikuwepo mazishini, ni kweli mafisadi wametoa mkono wa pole 70,000 bila senti.
 
Kwani kidogo hiyo? Hivyo vyama vingine vimetoa nini?

Kwani lile jimbo la nani? Alafu shule ni ya serikali na serikali ipo chini ya chama gani? Vyama vya upinzani havina hata ofc Idodi.
 
Alafu nashangaa watu hawajaguswa kabisa na CCM kutoa 70,000/= ndo hapo unapo amini wanao jiita wapiganaji humu ni wanafiki.

Poti boy siyo kuwa hawajaguswa.....bali hicho kilichotokea ni mwendelezo wa shameful acts na usanii ambao sisiemu wanawafanyia watanzania! na tunaendelea kuwapigia kelele kila siku hapa kijiweni mkuu!

I could expect more material support kutoka kwao hasa kwakuwa kwanza bweni limeungua hivyo they need ukarabati mkubwa, pili watoto wale wameunguliwa vifaa vyao, ikiwa ni pamoja na madaftari, nguo, na wengine bado wako hospital so wanahitaji sana material support si faraja ya mdomo! So sisiemu Mkoa wa IR chini ya ''KIHIYO'' JAH PEOPLE aka Mr. Msigwa was expected kuwa waungwana zaidi na kuhakikisha wanatoa material support wakati huu!

Fidel...yeye mwenyewe Jah People aka Msigwa alitoa mchango kiasi gani......kumbuka huyu naye ni fisadi fulani wa pale Makambako mkuu...ila ni kihiyo acha!
 
Fidel...yeye mwenyewe Jah People aka Msigwa alitoa mchango kiasi gani......kumbuka huyu naye ni fisadi fulani wa pale Makambako mkuu...ila ni kihiyo acha!

Yeye alisimama kama mwenyekiti wa CCM mkoa na kuiwakilisha CCM taifa kuwa wanatoa 70,000/= dah inauma sana mkuu NL.
 
Back
Top Bottom