CCM watimuliwa UDOM

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
Wakuu,

Ilikuwa mida ya saa 2 unusu sa 3, gari ya matangazo ilipita UDOM kuwaarifu kuwa kesho ndo siku yao, ghafla walipopita mabweni ya wasichana wakapewa salamu " wabakajiiiiiiiiiiiiiiiii" walipoenda kwa mameni "kichapo".

Usiku mwema.
 
HTML:
Jerome Kayanda: Dah ccm wamekimbizwa mbaya hapo social science cjui walikuja na swaga gani m2 mzima stil nachangaa

Source: Facebook
 
HTML:
Jerome Kayanda: Dah ccm wamekimbizwa mbaya hapo social science cjui walikuja na swaga gani m2 mzima stil nachangaa

Source: Facebook
Walikuja na swaga za nyimbo za bongo fleva uku wakiwa hawana bendera kwenye gari lao so ikawa vigumu kuwastukia mwanzo ila walipotamka CCM wanafunzi wakalisimamisha uku wakiwa wamebeba mawe wakaliamuru haraka iwezekanavyo wageuze gari na waondoke kwani mamia ya wanachuo walikuwa wameshataharuki.
CCM wanakazi mwaka huu na tamati yao imefika.
 
UDOM naona sasa mshajua maana ya kuwasupport hao watu!
Sasa mmekua
 
hongereni sana vijana wangu.mkiwapiga wakiwa ndani ya chuo ni ruksa hakuna wa kuwasumbua kwani wao wamekuja kufanya nini chuoni na hawaruhusiwi kufanya siasa ndani ya chuo. wakifanya CHADEMA manegement inaleta shida wakifanya ccm management ya mlacha inaona powa tu. sasa mwendo ndio huo mpaka kieleweke.
 
hongereni sana vijana wangu.mkiwapiga wakiwa ndani ya chuo ni ruksa hakuna wa kuwasumbua kwani wao wamekuja kufanya nini chuoni na hawaruhusiwi kufanya siasa ndani ya chuo. wakifanya CHADEMA manegement inaleta shida wakifanya ccm management ya mlacha inaona powa tu. sasa mwendo ndio huo mpaka kieleweke.
Hali ni tete mda huu kwa wana CCM kwani wengine imebidi wakimbie kwani wanazomewa na kupigwa mawe uku CDM wakiwazunguka na bendera za chadema wakiwa na mavuvuzela na hali inaonekana sio zuri kwa Wana CCM usalama wao kwani magari yanakataa kuwabeba kuogopa kupigwa mawe uku basi lililokuja kuwachukua wanafunzi wakilikimbiza wakilitaka litoke nje ya chuo.
 
Riz1 naye yumo na jezi yake ya kijani? Ila Bashe huyo mwacheni maana uraia wake una utata, zomea zomea hao....iloooh...basi inatosha, chama kimekuwaje tena huku uraiani, kushnei?
 
hivi Makamba anajua kutumia internet kweli? Awe anapitia humu na kujionea:clap2:
 
Natamani ushabiki wa vyama vya siasa ufutwe vyuoni. Wanafunzi wabaki na kadi za vyama lakini wapigwe marufuku kushiriki kampeni za vyama mashuleni. Hizi ni zama za Vyama vingi inawezekana siasa zikaamsha chuki mwiongoni mwa wanafunzi kadri siku zinavyosonga mbele
 
Hivi hao ccm mpaka leo hii wanatege wanategemea kuna wanafunzi wa chuo chochote wanaowaunga mkono? Labda wale ambao wazazi wao wanafaidika na ccm moja kwa moja. Tena kwa nini hawakulichoma moto hilo gari? Au petroli ilikua mbali. Anyway siku nyingine wakirudi choma moto hilo gari.
 
Kasheshe lilianza jana usiku gari la matangazo la ccm lilipoingia kutangaza sherehe zao..wanafunzi walilizingila gali na kuliteka huku wengine wakilipiga mawe na kutaka kutoa upepo.dereva alipopata mpenyo alitoka speed kukimbia kichapo,leo asubuhi wanafunzi waliamka na kukusanyika ili kupambana na magar yote yanayokuja kuchukua wanaccm chuo..hakika kila aliyeonekana amevaa nguo za kijani alizomewa na wanafunz wake kwa waume,kubwa zaid gar zilipoanza kuja kuchukua wanaccm zilikimbizwa na wanafunz had nje ya eneo la chuo.hakika ni wanaccm wasiozid 15,ndio waliokuwa wamevaa nguo za kijan na kufanikiwa kutembea kwa miguu had nje ya chuo kupanda gari.nawakilisha wadau..
 
Back
Top Bottom