CCM watekeleza ilani ya CHADEMA, wavaa magwanda ya CHADEMA

Mwingine huyu...

08bennomalisa.jpg
 
Attachments

  • tanzania-news-mwananchi-newspapers.jpg
    tanzania-news-mwananchi-newspapers.jpg
    4 KB · Views: 25
Tena la huyu kidogo linaelekea elekea hata rangi, kweli mwaka huu tutaona vituko.
 
Duh, hii nimeipenda sana. Wale wanaotuita CHADEMA magwanda sijui sasa watatuitaje? Maana na wao washaiga magwanda yetu. Ndiyo maana huwa nasema CHADEMA ni chama tawala. CCM wanaelekezwa na CHADEMA nini cha kufanya.
 
Jana gazeti la citizen limewatoa Benno Malisa na yule jamaa mchemfu sana Shigela wamevaa kombati.Tunamsubiri Kikwete naye avae ila lazima ataanguka !!!Subirini
 
Duh, hii nimeipenda sana. Wale wanaotuita CHADEMA magwanda sijui sasa watatuitaje? Maana na wao washaiga magwanda yetu. Ndiyo maana huwa nasema CHADEMA ni chama tawala. CCM wanaelekezwa na CHADEMA nini cha kufanya.

Anayependa sana kutamka hivyo kwa kejeli ni Benard Kamilius Membe,Muislam wa zamani siku hizi anajidai mkristo.Shindwa pepo mchafu na nia yako ya 'Urahisi'
 
KIkwete inaoneka ana hana kumbukumbu, nakumbuka 1995, Nyerere alisema nadhani katiba inayonivutia ni ya chadema, sas ayeye hakumbuki?

Tangu Tanzania iingie mfumo wa vyama vingi sijapata kuona chama kinachoikimbiza serikali na chama tawala mchakamchaka kama ifanyavyo Chadema. Ile kauli mbiu ya Kikwete kwamba vyama vya upinzani ni vya msimu leo anajutia, kwani ikulu sasa kiti moto hapakaliki bora kupita root nje kupoza mapigo.
 
Eti eeeenh,so nape ni chipukiz????
Kweli mnachiki na Nape daa! hata kama ni mzee wa pumba!? NIJUAVYO MIMI HII NI NGUO YA CHIPUKIZI YAANI ILIKUWEPO HATA KABLA YA MAGWANDA YA CHADEMA! TUMEVAA SANA KIPINDI CHA CHAMA KUSHIKA HATAMU!
 
Magwanda ya Chadema ni ya kaki na ni ya mgambo! Vazi la kombati limeanza tangu enzi za TANU! Waulizeni baba zenu Mbowe,Padri Slaa na Babu yenu Mtei! Wanajua kombati imeanza siku nyingi sana! Ila magwanda ya Mgambo ni ya Chadema yana rangi ya kaki!
 
Kweli mnachiki na Nape daa! hata kama ni mzee wa pumba!? NIJUAVYO MIMI HII NI NGUO YA CHIPUKIZI YAANI ILIKUWEPO HATA KABLA YA MAGWANDA YA CHADEMA! TUMEVAA SANA KIPINDI CHA CHAMA KUSHIKA HATAMU!
Henge kwani Nape chipukizi? Au ni fasheni siku hizi kwa ambao sio chipukizi kuvaa magwanda ya chipukizi?
 
Wamechoka kuvaa yebo yebo utavaaje kitambaa cha kung'aa kama unakwenda kuimba taarabu.
 
Tusubiri tumwone na Vasco labda siku moja naye atavaa kombati!
 
Magwanda ya Chadema ni ya kaki na ni ya mgambo! Vazi la kombati limeanza tangu enzi za TANU! Waulizeni baba zenu Mbowe,Padri Slaa na Babu yenu Mtei! Wanajua kombati imeanza siku nyingi sana! Ila magwanda ya Mgambo ni ya Chadema yana rangi ya kaki!

Kama yalikuwepo siku zote hizi yalikuwa wapi mpaka msubiri kuona Chadema imeshamiri na magwanda yake na kila anayepita amevaa magwanda watu wanamfuata kana kwamba ana sumaku. MMegundua Chadema ina sera za ndoana kali sasa mmeanza kuiga mvao wa Chadema ili kukwepa joto ya jiwe ya mavazi yeboyebo ya magamba ya wanamziki wa Taarab wa TOT, aka Captain Komba.

Cha ajabu mwigo huu wa kuvaa magwanda ya Chadema umeanza ghafla kwa Nape, Malisa na wengineo kwa kazi ya ajabu. Na bado mwaka huu mengi yaja tu hadi ubishi uishe,
 
ila hili la katiba walipalamia tu hawajui namna ya kulianza ndiyo maana hadi sasakimya na Si vibaya wakauliza au wakae pamoja na watoa maada ili wafikie lengo tunalo kusudia 2015
 
Back
Top Bottom