CCM watekeleza ilani ya CHADEMA, wavaa magwanda ya CHADEMA

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Nauye(2).jpg

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye

Kuanzia Uchaguzi Mkuu mwaka jana, tumeshuhudia CCM kuiga mbinu za kampeni kutoka Chadema kama kutumia Chopper (helkopta) kitu ambacho uchaguzi uliotangulia walipingana nacho.

Baada ya Uchaguzi ilani inayotekelezeka ni ya Chadema ikiwa ni pamoja na mchakacho wa Katiba mpya ya Tanzania, matatizo ya umeme, mpango wa kuondoa posho kwa watumishi waumma, viongozi wabadhilifu na kufikisha kwenye hatima ya kutangaza falsafa ya kuvuana magamba yaliyopelekea Rostam Aziz kuvua magamba yote ya CCM pamoja na Ubunge na kubakiwa na hirizi (kadi) ya chama hicho tu.

Mpya inayotoka sasa ni kuiga mvao wa Chadema kama hapo pichana Nape Mnauye ambaye amevaa magwanda ya Chadema ila tu rangi ndiyo ya CCM.

Je unataka uambiwe nini tena, maana magwanda yanakubalika, na ukitaka upokeleke kwa umma vaa magwanda, Nape kajua hilo ndo maana bila aibu kajaa tele ndani ya Magwanda ya Chadema.
 
Tangu Tanzania iingie mfumo wa vyama vingi sijapata kuona chama kinachoikimbiza serikali na chama tawala mchakamchaka kama ifanyavyo Chadema. Ile kauli mbiu ya Kikwete kwamba vyama vya upinzani ni vya msimu leo anajutia, kwani ikulu sasa kiti moto hapakaliki bora kupita root nje kupoza mapigo.
 
Huo ni mwanzo tu wataiga hadi ilani kinachofuata ni people's power kweli chadema wanaikimbiza ccm.
 
Na kuna siku tutashuhudia Kikwete kupanda jukwaani na magawanda ya Chadema, people's power
 
Peoples power kwa kweli imechukua usukani nilichoka nilipoona madereva pale Tunduma wamefunga ngumi eti peoples power walivyoongea na waziri Ndulu jamani Magwanda yanatisha
 
Ukitaka watu wakusikilize na kukufuata vaa yale magwanda, bazi unavuna, hizi sare za CCM washachoka nazo na wajua ni usanii tu.
 
Hi Kali, kwa hiyo nape yuko ndani ya kombat. Nadhani anataka kwanza ayazoee ndo abadilishe rangi.... yaani apige yale ya ukweli ya Khaki.

Nauye%282%29.jpg
Kweli mnachiki na Nape daa! hata kama ni mzee wa pumba!? NIJUAVYO MIMI HII NI NGUO YA CHIPUKIZI YAANI ILIKUWEPO HATA KABLA YA MAGWANDA YA CHADEMA! TUMEVAA SANA KIPINDI CHA CHAMA KUSHIKA HATAMU!
 
Usitudanye mkuu wakati wa chama kushika hatamu hayakuwa kama haya bwana! Hii ni cut and Paste ya CDM! Mtu mzima aibuuuuuuuu!!!!
 
Nauye%282%29.jpg

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye

Kuanzia Uchaguzi Mkuu mwaka jana, tumeshuhudia CCM kuiga mbinu za kampeni kutoka Chadema kama kutumia Chopper (helkopta) kitu ambacho uchaguzi uliotangulia walipingana nacho.

Baada ya Uchaguzi ilani inayotekelezeka ni ya Chadema ikiwa ni pamoja na mchakacho wa Katiba mpya ya Tanzania, matatizo ya umeme, mpango wa kuondoa posho kwa watumishi waumma, viongozi wabadhilifu na kufikisha kwenye hatima ya kutangaza falsafa ya kuvuana magamba yaliyopelekea Rostam Aziz kuvua magamba yote ya CCM pamoja na Ubunge na kubakiwa na hirizi (kadi) ya chama hicho tu.

Mpya inayotoka sasa ni kuiga mvao wa Chadema kama hapo pichana Nape Mnauye ambaye amevaa magwanda ya Chadema ila tu rangi ndiyo ya CCM.

Je unataka uambiwe nini tena, maana magwanda yanakubalika, na ukitaka upokeleke kwa umma vaa magwanda, Nape kajua hilo ndo maana bila aibu kajaa tele ndani ya Magwanda ya Chadema.

Inabidi afanye mazoezi ya kuyavaa kwani huko kwa magambas yuko kwenye hati hati ya piga niukupige; wenyewe wakichukua vyao ana yeyuka taratibu na gwanda lake kunako wapigania uhuru wa kweli teh!
 
Hahaha sipati picha alivyokwenda kwa fundi alimuambiaje. Bila shaka Lazima atakuwa amesema NISHONEE LIWE KAMA LA CHADEMA.

Sipati picha. sijui alianza vipi kumwelekeza fundi, "nishonee kombati.... si kama yale ya wapambanaji wa Chadema.... nataka kudhirisha na mimi ni mpambanaji.....lazima nivae kombati kama wao.

Ama pengine... hizi kombati nazitamani sana hebu fundi na mimi nishonee ya kijani....
 
JK upo..... Nape anakudhihirishia anayatamani magwanda a.k.a Kombati ila tu bahati mbaya anapata mshiko huko kwa magamba.. CCJ hoyee!!!!!
Nauye(2).jpg
 
mwaka 2015 kazi tu cdm ndio mmeiga vazi teh teh mwaka huu mtasema yote teh teh! Ikulu ina rangi gani teh teh wachafu hawataingia mle. Tumejaribu tumeweza tunasongambele kasi zaidi kazi ni kwako

CCM ndo sera za kuiga, unakumbuka ile Chu en lai na Kaunda Suti? Sasa vimewachoshwa na kuona speed ya magwanda ina mshiko hao wameparamia.
 
Back
Top Bottom