CCM wataka kuanzisha machafuko Arumeru. Watumia gari la Diwani

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Ktk hali isiyokuwa ya kawaida vijana wanaoaminika ni wa chama tawala(CCM) wakiwa ndani ya gari la mh. Diwani wamevamia kituo cha kupigia kura na kujipa kazi ya polisi ya kusimamia mistari na kutoa maneno ya vitisho kwa kutishia mwanachama mwingine wa chama chochote atakayefanya vurugu atakiona. MY NOTE: Si ruhusa kwa mtu ambaye si mpiga kura(isipokuwa wasimamizi wa kituo na maafisa wa Tume ya uchaguzi) wa kituo husika kusogea umbali wa ndani ya mita 100 kutoka kituo cha kupigia kura, iweje wenzangu wa CCM wanafanya haya, kama ulinzi askari si yupo? Hofu ya nini? SOURCE: Radio one, Radio 5-Arusha.
 
Mmmh kweli leo ni siku ya wajinga; sasa umbali wa wananchi kusubiri ushakua ni ndani ya Mita 100 na sio zaidi ya Mita 100?????
 
kuna mbinu ya kuiba kura nayo ni kuanzisha vurugu kwenye kituo cha kura.halafu difenda za polisi zinakuja kwa kasi na kuingiza maboksi ya kura feki.
 
kuna mbinu ya kuiba kura nayo ni kuanzisha vurugu kwenye kituo cha kura.halafu difenda za polisi zinakuja kwa kasi na kuingiza maboksi ya kura feki.

Lakini mkuu hapo naona itakuwa ngumu kwani idadi ya watakao piga kura inajulikana na lazima ilingane na kura zilizopigwa hapo sijaelewa wataingiza hizo kura kura feki saa ngapi.
 
Lakini mkuu hapo naona itakuwa ngumu kwani idadi ya watakao piga kura inajulikana na lazima ilingane na kura zilizopigwa hapo sijaelewa wataingiza hizo kura kura feki saa ngapi.

Hesabu kweli ngumu kwa magamba! hivi hujui substitution theory?
 
Back
Top Bottom