CCM washikwa wakigawa sare na hela Igunga

1. Nimepata simu kutoka kwa makamanda walioko uwanja wa mapambano, Igunga kuwa mnamo saa mbili na nusu usiku huu, Vigogo kadhaa wa CCM walikuwa wanagawa sare na fweza kwa wanawake waliokusanywa eneo la hospitali ya wilaya ya Igunga.

2. Kumeitishwa mdahalo kati ya wagombea wa Ubunge jimbo la Igunga ... mpaka sasa mdahalo unaendelea.

Mlioko Igunga, Tunaomba picha na taarifa zaidi.

Quality
Jambo la kulielewa ni kwamba CDM MUNGU peke yake yupo na ninyi. hakuna wa kuwashinda hata lingeletwa jeshi na vifaru vyote>
 
Inahitajika nguvu tu ya umma kuwashinda hawa jamaa kwani raslimali wanazotumia sio zao ni za kwetu wote tuunganishe nguvu kuwaondoa hapo walipo na sanduku la kura litakalo waondoa!
Aluta Continua!!!!!!!
Hakuna kulala mpaka kieleweke!!!!!!
peoples power will prevail!!!!
 
Mimi naomba kutoa hoja..Sisi wadau wa CDM munkari unakuja juu pale tunapopata habari zenye support ya picha.Sasa mengine inakuwa ngumu kiasi maana hatuoni tuamini kwa asilimia ngapi..Lakini si tatizo..Digital Camera zitawafikia tuu tukiingia Madarakani na kutoa haya mapepo ya wifi na ufisadi wa macho..
 
Jaribu wewe kuanzisha Mod anabania kuiweka hadharani japo kwenye sms zinazungua na kwenye twitter na facebook sasa yeye akae tu hapo aendelee kubania hii ni passive resistance only with great mind knows the impact it will result to civil rebellion no any government has ever stand that but Moderator wa JF anabania hakuna mabomu wala virunga its just wear cloth and go to work!

Hii nzuri lakini ianzishie thread yake.
Itakuwa operesheni maalum ya kuhamasisha watu kama Dr Kiza Besige wa Uganda na operesheni yake ya Walk to work.
 
Huyu mtoa thread ameikera sana. Ametueleza kuhusu mdahalo na habari anazipata kupitia kwa rafiki aliyeko Igunga. Sasa kilichomkimbiza ni nini? Kwanini aweke thread halafu aingie mitini? Au habari zake hana uhakika kwahiyo anakimbia maswali?

Kwann asi communicate na huyo rafiki'ake atupe updates za mdahalo?

This guy is not a great thinker!
 
Naona kama ni picha tutazipata tu maana kuna wengine si wana JF hivyo source inaweza tupatia
 
1. Nimepata simu kutoka kwa makamanda walioko uwanja wa mapambano, Igunga kuwa mnamo saa mbili na nusu usiku huu, Vigogo kadhaa wa CCM walikuwa wanagawa sare na fweza kwa wanawake waliokusanywa eneo la hospitali ya wilaya ya Igunga.

2. Kumeitishwa mdahalo kati ya wagombea wa Ubunge jimbo la Igunga ... mpaka sasa mdahalo unaendelea.

Mlioko Igunga, Tunaomba picha na taarifa zaidi.

Quality

Ungewapigia Simu TAKUKURU au na wewe umelamba nini?
 
Back
Top Bottom