CCM wapigana vibaya Kawe na mkutano kuvunjika


nilikuwepo polisi, hii taarifa ni kweli, kuna watu wawili wamejeruhiwa vibaya sana, wamemwagiwa mafuta ya moto, yaani mmoja unashindwa hata kumuangalia



waacheni wafu wazike wafu wao.sisi tukaze mwendo kuelekea kwenye ukombozi wa kweli.m4c-soma namba ya kiatu
 
Kuna Kakijana Ka-puppet kanaitwa JAMES MWAKIBINGA jana kalikuwa kanatoa MA-POVU.

Akikuwa anarusha kareti vibaya sana.Ilikuwa ni kama sinema huwezi kuamini kama kuna chama cha siasa chenye wanachama wahuni namna hii.
 
Hivi nyie mnadhani magamba hayapati moto nin?...nawambien mpaka ifike 2015 2tasikia mengi xana
 
Laana kubwa wanahongana mpaka nyeti?kweli gamba limekuwa sugu,pesa si kitu tena kwao!!!
 
kuna kijana alinyanyua flower ves kubwa anataka kuwabonda nayo wenzie, hii ni zaid ya hatari
wauane tu, angalau wapungue...
kinachoonekana kwenye ngazi ndogo kama za kata, ni taswira ya kile kinafanyika katika ngazi za juu.
 
Uchaguzi wa UVCCM Kawe

[video=youtube_share;klfNBHXvlHA]http://youtu.be/klfNBHXvlHA[/video]
 
Back
Top Bottom