Elections 2010 CCM wapanga matokeo kura za maoni

dengeru

Member
Oct 1, 2009
52
7
jana nilibahatika kusikia mazungumzo ya wana ccm pale lumumba,kinahofanyika sasa kuhusiana na kura za maoni na matokeo yaliyotea ni kwamba wale watu walioshinda kura za maoni lakini hawawataki wawe wabunge wamepanga kuwapa u DC,kwahiyo si mda mrefu utasikia watu fulani wanajitoa hata kama wameshinda kura za maoni ili wawapishe wale ambao makamba na kikwete wanataka wawe wabunge..njia watakayotumia ni kumwambia alieshinda kura za maoni lakini hatakiwi ni kumuomba awe DC akigoma wanampa kesi ya kutoa rushwa kwenye kura za maoni....ieleweke kwamba si wote watapewa u DC wengine watapewa tu kesi za rushwa..tusubri
 
Ni hapo ccm watakapo kuwa wameshinda, maana ukuu wa wilaya ni uteuzi wa raisi, sijui kama Dr Slaa atawateua
 
CCM bana kwa kujifariji, wakijiunga upinzani mnawaita makapi wakibaki kwenu wanafaa kuwa ma DC kaaazi kweli.

Afterall kuna wilaya efu ngapi maana CCM ilkuwa na wagombea zaidi ya elf tano sasa mtawaridhisha wote kama si kiini macho ni nini acheni uongo wa mchana.
 
ccm bana kwa kujifariji, wakijiunga upinzani mnawaita makapi wakibaki kwenu wanafaa kuwa ma dc kaaazi kweli.

Afterall kuna wilaya efu ngapi maana ccm ilkuwa na wagombea zaidi ya elf tano sasa mtawaridhisha wote kama si kiini macho ni nini acheni uongo wa mchana.
nangojea kusikia dc lowasa,dc rostam,dc bashe,dc pr maghembe,dc karamagi,dc mwangunga,hawa ndio ccm wana mshikemshike hakuna kushirikisha vichwa vyao
 
jana nilibahatika kusikia mazungumzo ya wana ccm pale lumumba,kinahofanyika sasa kuhusiana na kura za maoni na matokeo yaliyotea ni kwamba wale watu walioshinda kura za maoni lakini hawawataki wawe wabunge wamepanga kuwapa u DC,kwahiyo si mda mrefu utasikia watu fulani wanajitoa hata kama wameshinda kura za maoni ili wawapishe wale ambao makamba na kikwete wanataka wawe wabunge..njia watakayotumia ni kumwambia alieshinda kura za maoni lakini hatakiwi ni kumuomba awe DC akigoma wanampa kesi ya kutoa rushwa kwenye kura za maoni....ieleweke kwamba si wote watapewa u DC wengine watapewa tu kesi za rushwa..tusubri

walikuwa wanafurahishana kwenye kijiwe chao cha kahawa heeeheee watakiona cha moto
mwaka huu CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!! unataka hivyo hivyo hutaki ndiyo hivyo tu
 
Lakindi ndivyo viongozi wetu wanavyopatikana. haishangazi wala haihuzuninishi.
 
Back
Top Bottom