Ccm wanatetea ukweli au wanaogopa raisi kuvunja bunge?

mchaichai

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
648
76
bajeti ya mwaka wa fedha 2012/2013 ni busha inahitaji upasuaji...ni bomu itauwa watu wasio na kinga na fedha...ni bajeti ya kuota lakini CCM wanang'ang'ana matumbo yao...mimi cjui mtu kama Sengeka nilikuwa namuheshimu sana lakini kumbe ni wakati ule wa LOWASA tu...tena ni hatari kabisa na mwanamakundi na mnafiki mkubwa ndiyo maana yuko kama Mpira (BALL)..kazi ya kuchumia tumbo na masaburi
 
Kichwa chako cha uzi kimetulia, wewe mwenyewe hujatulia. jaribu kujipanga upya. Akili yako ina akili ila hutaki kuitumia.
Jaza nyama ktk huu uzi!
 
Wabunge wa ccm hawawezi kutetea ukweli kwani hakuna ukweli ktk Bajeti hii, na hawaogopi bunge kuvunjwa bali wabunge wa ccm ni DHAIFU na ndio maana wamekubali vitisho kwenye kikao cha wabunge wa ccm kabla ya kujadili bajeti hii, wabunge wa ccm wametishwa wasiiseme vibaya serikali na kwa sababu ni Dhaifu wamekubali kutetea ccm na bajeti hewa
 
Back
Top Bottom