CCM wanasambaza barua mkoa mzima kwa wajumbe!

Sioni kama ni issue kutoa mialiko wa watu kuhudhuria. utumiaji wa barua za mialiko ni wa kitaaluma zaidi.

Angalia Tume usije ukaumbuka nikiiweka hiyo barua huo si mualiko bali ni ombi la lazima kila mjumbe aje na watu wasiopungua kumi na pia wameakikishiwa usafiri,sasa kama mualiko ya nini kuwalaghai na usafiri?
 
tumeshawachoka na ahadi hewa hata nape ametuthibitishia hilo na yeye anailalamikia serikali yake barabara zimesimma hazijengwi kungine makandarasi wanaondoka hospitali na mengineyo yeye sasa anafanya kazi ya waziri mkuu kumpangia nini cha kufanya ma padlock
 
Swala je kutakuwa na pilau watu tujichange tuje!?

Washaumbuka NyinyiEM lazima waweke pilau hili watu wawe wengi au umesahau mwanza?? Hila itabidi nimtahadharishe yule aliyepewa barua na mob yake wasisahau nauli ya kurudi maana yaliyotokea mwanza yasije yakajirudia.
 
Magwanda yanapo-rowa jasho hutoa harufu kali sana ya Kikwapa!
 
Kuwahamasisha wanachama wao wahudhurie mkutano sio issue ni kitendo cha kawaida sana. Ngoja tuione iyo barua then kama kuna njia za kulaghai ndo itakuwa muafaka kusema lolote. Lakini kwa sasa kuropoka na kurusha makombora wakati hata kilichoandikwa hukijui ni ugonjwa huu.
 
na shauri yao watakao danganyika kwenda!!usafiri wa kurudi hautakuwepo!!
 
tumeshawachoka na ahadi hewa hata nape ametuthibitishia hilo na yeye anailalamikia serikali yake barabara zimesimma hazijengwi kungine makandarasi wanaondoka hospitali na mengineyo yeye sasa anafanya kazi ya waziri mkuu kumpangia nini cha kufanya ma padlock

Juzi juzi nape aliilalamikia serikali yake kwa kuuza viwanda ovyo ovyo!!
 
Washaumbuka NyinyiEM lazima waweke pilau hili watu wawe wengi au umesahau mwanza?? Hila itabidi nimtahadharishe yule aliyepewa barua na mob yake wasisahau nauli ya kurudi maana yaliyotokea mwanza yasije yakajirudia.

du..! Basi ngoja niwashtue wakina Molemo ili jmos tukapige hiyo pilau ya nyinyiem ili tupate nguvu ya kuendeleza M4C yetu.
 
Kuwahamasisha wanachama wao wahudhurie mkutano sio issue ni kitendo cha kawaida sana. Ngoja tuione iyo barua then kama kuna njia za kulaghai ndo itakuwa muafaka kusema lolote. Lakini kwa sasa kuropoka na kurusha makombora wakati hata kilichoandikwa hukijui ni ugonjwa huu.

Mhh ime don't buy that,chadema wamefanya mkutano sijawahi sikia wala kuona barua zinasambazwa zikiwalazimisha watu wawabebe ndugu zao waje kwenye mkutano,nashangaa ccm wanawalazimisha wajumbe,mipete ya mvuto wanayovaa magamba midoleni haiwatoshi??
 
Back
Top Bottom