Nimekuwa natafuta sources za funds za ccm sipati jibu. Hivi karibuni tumewaona Membe na makada wa ccm wakirusha maneno kwa cdm kuhusu funding, Je wao wanalipwa na nani? Wanapata wapi funds za kulipia kampeni zao? Wanapata wapi kujenga majumba na magari ya kifahari?
Tunaomba Mzee Mwanakijiji na Weak leak ya Watanzania humu JF tupate ripoti kamili kuhusu ccm na wealth wa viongozi wao Tanzania. Kama watanzania ni maskini kiasi hiki, ccm wanapata wapi fedha? Tunasikitishwa kwamba sio watanzania wanaofunga mikanda kujinyima na wengine wale na kuchukua sheria mikononi.
Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
Ukweli ni kwamba ccm wanapata pesa kwenye mkoba hapa chini