CCM wananishangaza sana kwa kweli.

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Chama cha magamba kinanishangaza sana badala ya kuvua gamba ili waweze kuisimamia serikali iwahudumie wananchi ipasavyo wao wanalenga kushinda uchaguzi. Huku ndio kutufanya watanzania wote ni mabwege.

Kama kweli CCM inathamira ya kuwatendea haki isiishie kuadhibu watendaji wake bali iingie mpaka kuwaondio watendaji wa bovu ndani ya Serikali walioshirikiana pamoja na kuwalinda mafisadi kuibia uma, bila shaka hapo tutamini kuwa wamejivua gamba la ufisadi , bila hivyo watakuwa wamelipiga rangi gamba.
 
CCM Chama Cha Magamba duuuuhi hii nimeipenda sana. Serikali inayoogopa mtandao wa JF wakati ina majeshi na kila aina ya zana, kweli hii ni serikali inayotokana na magamba.
 
Back
Top Bottom