Elections 2010 Ccm wanamtumia mwanamuziki kutoka kenya kweny kampeni ...nec wanalijua hili?

Mamboleo

Member
Oct 15, 2008
69
38
Katika siku za hivi karibuni,CCM Rorya wanamtumia Mwanamziki maarufu kutoka Kwenye kampeni zao za uchaguzi huko Rorya.ITV jana wamemwonyesha Mwanamuziki huyo Osogo Winyo akitumbuiza kwenye kampeni za CCM huko Buturi kabla mgombea wa CCM huko Rorya Lameck Airo hajahutubia.

Jee hii imekaaje kisheria zetu za uchaguzi..inaruhusiwa?...Au tume ya taifa ya uchaguzi nayo haina taarifa?

Tuelimishane
 
Back
Top Bottom