Unanifurahisha ndugu yangu. Kumbe unataka niamini Fatima Mghimbi kuamia sisi m ni usanii ule ule?Propaganda zipo za aina nyingi, hata hii picha ni mojawapo
Na iwe hivyo.Amini, Amini nakwambia, Ushindi utakaotokea utakuwa mkubwa sana kiasi kwamba anayepanga wizi haataweza kuufanya.
na mm hiyo fulana ya ccm naitaka saana kwa ajiri ya mazoezi asubuhi..!
Hata mimi pia naitaka kwa ajili ya kupigia deki