CCM Wanagawa Bendera Na Pesa Arumeru

semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
hili nalo badala ya kujibu hoja linaleta mambo ya Barca, kanusha hiyo hoja kwa hoja,wakuu mtupie picha huyu Mzinzi wakinyiramba, wanyiramba hatujalelewa hivi.Ivi kati ya CCM na CDM nani ni Barca?
 
Kuna jamaa mmoja mzinzi, alikamatwa kule Igunga,ana kofia nene sana katika chama cha magamba inayohusiana na maswala ya pesa, anaitwa nani vile! Naye yuko Arumeru? Basi wenye wake zenu kuweni macho huko.
mkewe yupo China masomoni, Wachina wanajipakulia, ndo maana kaamua kulipa kisasi
 
hili nalo badala ya kujibu hoja linaleta mambo ya Barca, kanusha hiyo hoja kwa hoja,wakuu mtupie picha huyu Mzinzi wakinyiramba, wanyiramba hatujalelewa hivi.Ivi kati ya CCM na CDM nani ni Barca?
Sawa kabisa jirani. Mwigulu anatuaibisha watu wa Iramba. Hajitambui. Ni kupe anayewanyonya damu wanyonge wa nchi hii. Shame on him.
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU

Mkuu tunaamini nyinyi mna dola na mahakama na serikali yote inatumika kwa ajiri, yenu wezi nyinyi.,..najua mko tayari kuua, kudhulumu, kudanganya, kutukana, kuiba ardhi na kura za watu kwa njia yoyote ile, lakini bila shaka unafahamu hakuna jambo lisilo na mwisho...Mwisho wenu utafika tu hata kama ni baada ya miaka 50 mingine, hata kama muwe mmekufa tuta nyonga watoto na vitukuu vyenu.. unamkumbuka Gadaffi! Endeleeni kuamini mtaiibia Tanzania milele.. i believe ipo siku mtaikimbia nchi.. nyinyi ni watu gani msio na huruma.. mnapola ardhi za maskini.. hamtaki kuwajibika, mnaua mpaka watu waliopigania uhuru wa nchi, Mko tayari hata kuua kwa risasi na sumu.. Siku itakuja ambapo watanzania watakataa katakata kudanganywa tena kwa chumvi, vikanga, kofia, ubwabwa na na miambili.. Endelea kufurahia ugumu wa maisha unaowapata watanzania mnao waua na kuwakumbuka wakati wa kampeni tu. TUOMBEANE UZIMA TU.
 
mkewe yupo China masomoni, Wachina wanajipakulia, ndo maana kaamua kulipa kisasi

Wachina hawana uume wa kumridhisha mwanamke wa kibongo..wachina wana vipisi tu......kuna mbongo mwingine anakamua hukohuko china.......na ninachojiuliza ni kuwa akili za nchemba ni za kichina.........akiongezewa na za mke wake zitakuwa za kichina square............ccm yote itakuwa chinese product........kila kitu kitakuwa samasoti
 
Sawa kabisa jirani. Mwigulu anatuaibisha watu wa Iramba. Hajitambui. Ni kupe anayewanyonya damu wanyonge wa nchi hii. Shame on him.

Uleliani..........iza shikamuuuuuuu.........nilomba/impele fimbo nanchape Nchemba......teheteheehete.....kamsuri kaza kaza....kamsuri ka ha mende...........wanyiramba bana mie najua kina dada tu ndio sio wachoyo kama dada zangu wahaya...kumbe hata wanaume sio wachoyo.......wanatembeza dozi hata kwa my wifes(tense error!) wa wenzao. Siku likija likizo Singida lichapeni bana.........
 
Tutalichapa bakora hili lizinzi.
 
Kama CCM ni Bacelona na CDM ni Kibangu United basi Kibangu united ni noma maana waliishinda bacelona kwenye uwanja wao wa nyumbani hasa Arusha mjini,Mwanza,Mbeya,Singida,Ubungo n.k bila kufanya faulo ya kutoa rushwa,kubadilisha matokeo,wala kugawa fulana na vitenge. Waliweza kuitetemesha Barcelona Igunga (pamaja na kuiba kura).
 
Leo Mida hii ya saa nne katika mitaa ya Leganga na Usa-River chama cha ccm kinagawa bendera na pesa kwa waendesha Toyo(pikipiki) na mikokoteni.

Bendera moja unagaiwa na shilingi elfu tano mpaka sabini kutokana Uongeaji wako. Wanafanya hivi ili kuongeza idadi ya watu kwenye mikutano yao ya Kampeni

Wanatumia gari aina ya Land Cruiser Nyeusi kufanya hiyo biashara.

Vijana wanapokea halafy wanasema "tunakula ccm, tunachagua chadema".
...usiacha pesa chalii!...chukua hiyo pesa,tumia kiasi alfu chenchi itakayobaki ipeleke kwenye mikutano ya CDM umchangee kamanda Nasari pesa ya mafuta ili tufankishe ukombozi wa kweli Arumeru...
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU

Ushindi unawezekana kwa njia nyingi siyo sanduku la kura tuuu......hilo kila mtu analifahamu ila angalizo Huko siyo Igunga!Na ukishindwa Arumeru ndo umeneja upewi tena.
 
Calcutate the following Question
0=CCM,Arumeru =0
CCM + Arumeru =
CCM - Arumeru=
CCM / Arumeru=
CCM * Arumeru=
Yaani Mashamba muwape wenyewe Walowezi toka South Africa na Zimbabwe,Leo hii mseme mtayarudusha mikononi mwa wameru,mliwapa walowezi kwanini?,Mkapa acha usanii.
Kurusisha Mashamba ni kama kesi ya richmond,mtaiweza?
 
Leo Mida hii ya saa nne katika mitaa ya Leganga na Usa-River chama cha ccm kinagawa bendera na pesa kwa waendesha Toyo(pikipiki) na mikokoteni.

Bendera moja unagaiwa na shilingi elfu tano mpaka sabini kutokana Uongeaji wako. Wanafanya hivi ili kuongeza idadi ya watu kwenye mikutano yao ya Kampeni

Wanatumia gari aina ya Land Cruiser Nyeusi kufanya hiyo biashara.

Vijana wanapokea halafy wanasema "tunakula ccm, tunachagua chadema".

Acha uongo wako kama una ushahidi, note number ya gari, unajua namba za TAKUKURU wapigie then watakuja, ni vema na wewe ukajitambulisha kwao manake mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana kesi ya kujibu.

Nimekuona hapa Liganga umevaa kanga, mbona umekata ringi sana mama!!! Umeacha kutumia dawa??
Utakufa wewe!!
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Nitakukumbusha haya mataputapu yako baada ya tarehe mosi mwezi ujao. Jifariji tuu sasa hivi usije ukafa mapema kwa kihoro kabla hujauona uchaguzi wenyewe. Hii sio Igunga. Hapa ni Arumeru Mashariki, Sisi tumefunguka.
 
Kama CCM ni Bacelona na CDM ni Kibangu United basi Kibangu united ni noma maana waliishinda bacelona kwenye uwanja wao wa nyumbani hasa Arusha mjini,Mwanza,Mbeya,Singida,Ubungo n.k bila kufanya faulo ya kutoa rushwa,kubadilisha matokeo,wala kugawa fulana na vitenge. Waliweza kuitetemesha Barcelona Igunga (pamaja na kuiba kura).
Mwambie huyo mwenye mawazo membamba, eti reference yake ni Igunga, mwambie hata Igunga CHADEMA tulishinda tena kwa kishindo kwa sababu nguvu walizotumia hazina uwiano na kura walizopata.
 
hapa si igunga mahala pa kuchukua wake za watu wakakuchekea , hayo unayosema si igunga
 
Back
Top Bottom