CCM Wanagawa Bendera Na Pesa Arumeru

semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
"Ajidhaniye amesimama,Aangalie asianguke"
Mwigulu na huko uliko kama utaendelea na kale katabia kako kachafu ka kutembea na wake za wenzio,lazima ukutane na "NYONYA SWEET"Muulize waziri wako Malima,anaelewa ninachokiongea,saa hizi yuko busy na media kudanganya wananchi upuuzi wake alioufanya.
 
Acha Porojo wewe
Mchakato unaoendelea Arumeru ni kitu cha msingi sana kwa watu wa Jamii hiyo, acha kabisa kupeleka maneno yako
ya bla bla zisizowasaidia wana arumeru kitu chochote.

Kinachofanyika hapo ni kitu kinachobeba mstakabali mzima wa elimu, afya, ardhi, uchumi na democrasia kwa Jamii hiyo
kongwe lakini iliyotopea kwenye Umasikini kwa sababu ya Uongozi Mbovu chini cha chama cha Magamba.

Sasa wewe unapoanza kuleta inferences za Barcelona sielewi kabisa dhamira yako kwa maendeleo ya watu hao. Mwenzako Mkapa Mzimu sijui Mzuka wa Nyerere umeanza kumuandama bado wewe. We Fanya siasa chafu tu huko tutakutana uzeeni.
Mkuu umeongea vizuri sana!watu kama hao wanahitaji elimu ya ziada mkuu,maana elimu waliyopewa bado haijawasaidia kabisa kuwafungua mawazo!eti mfano wa barca na kibangu fc kwenye maisha ya watu!anashndwa elewa siasa ni maisha!analeta akili za Mwigilu!kweli kua kwy chama fulani inabidi uwe na ujinga fulani hv
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU

Kama unadhani ccm ni barcelona why bothering kutoa rushwa kwa wananchi wa arumeru?
Katika hili inaonekana Kibangu FC wako juu sana hadi mmeamua kutumia mbinu za nje ya uwanja.
Mlianza na chenkapa akawabeep chadema, walipompigia akaikimbia simu yake, sasa hivi yuko daslam anasikilizia lini atasuluhishwa na mama maria nyerere.

Kama ni kashfa ama matusi wewe ndiye unaongoza, si arumeru tu hata igunga ulikuwa unatukana sana lakini naona kwa arumeru umeongeza kiwango cha kutukana, jambo ambalo hatujalisikia toka kwako ni kufumaniwa na mke wa mtu, na kwa arumeru ukithubutu kichwa chako kitabaki huko huko milimani.

Ni aibu sana kwa kijana kama wewe kujiingiza katika siasa za majitaka kiasi hicho, hata wazee wa ccm wanakushangaa kwani pamoja na ubabe wao hawakuwahi kufikia kiwango cha kutoa kashfa na matusi kwa wagombea wenzao.
 
Hizi habari za Arumeru nadhani tunahitaji objective source vinginevyo ni kama mwamba ngoma
 
Hatushangahi kusikia hivyo bila shaka wewe ni mfuasi wa chadema tumeshawazoea kwa siasa za maji taka,uzushi,uongo,majungu,uchonganishi na maneno machafu yasiyo na busara muwapo majukwaani hii ndiyo sababu ya watanzania kutokuwachagua hamna sera ni watu wa propaganda chafu mwanzo mwisho,nakushauri wewe na ukoo wako nendeni na magunia mkachukue hiyo mipesa ya bure ,wewe ni young politician unatumika vibaya na chama chako ni wazi hujitambuhi amka achana na uchafu huo!
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Mkuu najua humu Jamvini ni vigumu kupata support kwa CCM ya kutosha.Ila napenda kuuliza tena swali.
CCM MEJIANDAEJE kujibu swali linalowajia .Hapa nina kada wa CHADEMA anataka kuweka tena habari ktk vichwa vya wameru. LILE SUALA LA MAPIGANO PALE USA PALIPO KATWA MIGOMBA NA VIJANA WA KIMERU KTK MAPIGANO YA ARDHI ,AMBAO WALIPIGWA ZA RISASI NA KUSWEKA RUMANDE. Jamaa wanasema Mh. Kimaro mnajua ni aliwahi kuwa nani, ni sehemu ya ukatili wa CCM kuiba ardhi. Naomba utupe jibu humu ndani kma kizoezi kabla huyo kada wa CHADEMA hajaenda lipua ktk mkutano soon.
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Wewe Mnyiramba ni jirani yangu ila unatakiwa ujue kuwa CCM ya sasa ni sawa na mzoga wa fisi uliooza na sasa unashambuliwa na kila aina ya mdudu.
 
Kama unadhani ccm ni barcelona why bothering kutoa rushwa kwa wananchi wa arumeru?
Katika hili inaonekana Kibangu FC wako juu sana hadi mmeamua kutumia mbinu za nje ya uwanja.
Mlianza na chenkapa akawabeep chadema, walipompigia akaikimbia simu yake, sasa hivi yuko daslam anasikilizia lini atasuluhishwa na mama maria nyerere.

Kama ni kashfa ama matusi wewe ndiye unaongoza, si arumeru tu hata igunga ulikuwa unatukana sana lakini naona kwa arumeru umeongeza kiwango cha kutukana, jambo ambalo hatujalisikia toka kwako ni kufumaniwa na mke wa mtu, na kwa arumeru ukithubutu kichwa chako kitabaki huko huko milimani.

Ni aibu sana kwa kijana kama wewe kujiingiza katika siasa za majitaka kiasi hicho, hata wazee wa ccm wanakushangaa kwani pamoja na ubabe wao hawakuwahi kufikia kiwango cha kutoa kashfa na matusi kwa wagombea wenzao.
Acha uongo wewe na chama chako chadema mmezoea kumwaga siasa za majitaka hakuna mtu anayeweza kumwaga pesa kwa wananchi jimbo lote ili achaguliwe kama ipo hiyo toeni taarifa takukuru muwakamate mwageni sera za chama chenu ili wananchi wawaelewe na kuwachagua majungu hayasaidii kitu wenzenu CCM wanamwaga sera nyie mmekalia majungu mwisho wa siku mnashindwa mnasingizia mmeibiwa kura hamjawahi kutokea hadharani ata siku moja na kukiri kushindwa kwenye uchaguzi wowote kuanzia uraisi mpaka majimboni nyie kila chaguzi mnalalamika tu watanzania wameshawazoea kwa tabia hiyo chafu, acheni majungu vinginevyo hamtafanikiwa kamwe!
 
Mwigulu mpuuzi sana,mi ni mpiga kura hapa shangarai,nahamasisha kweli.labda m2 awe maiti ndo ataisuport ccm
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Mashabiki tunataka msawazishe magoli 3 kutoka kwa striker wa kibangu united Mhe V.Nyerere! otherwise mmeshafungwa 3 bila!
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU

Prezidenti wako alipewaga kajezi na real madrid, huyo kiongozi wa chama chako alionyesha mapenzi ya chama chako kwa real, sasa vipi ghafla unatabiri kushindwa kwa timu yako ya kuwa baca (chadema) watashinda!!
Hujatujibu nani alikusaidia kukariri darasa la saba, hilo ni kosa kisheria subiri muda unakuja tutakufutia vyeti vyako vyote, tukurushe mahakamani na nakuhakikishia utanyea debe utuwaachia mywife wako watu wakutunzie!!!!!
 
Acha uongo wako kama una ushahidi, note number ya gari, unajua namba za TAKUKURU wapigie then watakuja, ni vema na wewe ukajitambulisha kwao manake mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana kesi ya kujibu.

mwizi kumkamata mwinzie haiwezekan, ccm-mwiz + rushwa na takukuru-pokea rushwa + saidia mwiz.jiulize mikataba mingi ina rushwa,lin takukuru wameshtaki?
 
Kwa mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM kwa miaka ya leo lazima atakuwa punguani
 
Mbona issue ya Sioi mliwamata wale jamaa na hakuna kesi? TAKUKURU ni kama imekufa na inafanya kazi kwa wapinzani tu.
Ukweli jamaa anayo hoja.... kama mtu mzima kaona gari kwa nini asiquote namba anaweka mambo ya kufikirika??? haina haja ya takukuru ila cha msingi akazie point yake, maana alivyoandika muanzisha thread ni kama yiupo eneo la tukio
 
Mkuu sizushi wala nini, ni kweli kabisa. Nenda Tengeru sasa hivi utayaona. Wametoka leganga muda sio mrefu wanaelekea huko.

Kama wanagawiwa pesa na kwenye mikutano wanaenda manake wameshakubaliana na CCM wangetaka kukataa wangepewa pesa na bendera baadaye wakatupa bendera na pesa wakatumia CCM wangekoma lakini kuniambia wanasema kura siri yao hii haisaidii sana ,nadhani watanzania ufike wakati tuache unafiki wapokee pesa halafu wasepe tuone kama wataendelea
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU

Wewe Kijana hufai umepoteza siha ya kisiasa Kwanza
Muongo
mtoa rushwa
mzinzi au kwa jina lingene mende wa wake za watu
mfitini
tamaa sana huna maisha marefu ya kisiasa kuwadi wa magamba,majambazi papa wa rasimali za nchi akina Lowasa
Huna moral authority yeyote kiama chenu kinakuja,Watanzania sio wale wa zamani tutapambana mpaka tone la mwisho kuwanq'oa nyie chama cha majizi mumefanya nchi yetu iwe maskini mara mia hata kabla ya kupata uhuru tangu Igunga nikiona picha yako kichefuchefu hata ukiwa kwenye luninga na zima hufai kwa mustakabali wa nchi yetu mtoa rushwa wee
 
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU

unataka nini uku? Huku wapo Great thinkers sio watu wanaoendekeza itikadi za kiimla.
 
Leo Mida hii ya saa nne katika mitaa ya Leganga na Usa-River chama cha ccm kinagawa bendera na pesa kwa waendesha Toyo(pikipiki) na mikokoteni. Jamani huo ni uongo unaenezwa na wafuasi wa chadema ili kuichafua CCM kama kawaida yao na siasa za majitaka,uzushi,majungu,fitina na matusi mtoto umleavyo ndivyo akuavyo walianza viongozi wao sasa imefika mpaka kwa vijana wao badala wamwage sera za chama chao wanamwaga majungu,wananchi wa jimbo la Arumeru Mashariki kama kawaida wafanyeni kitu mbaya kama walivyofanywa Igunga Na Uzini hii ndiyo dawa yao mpaka watajirekebisha na kuanza kusema ukweli na kuachana na siasa za majitaka!
 
Kuna jamaa mmoja mzinzi, alikamatwa kule Igunga,ana kofia nene sana katika chama cha magamba inayohusiana na maswala ya pesa, anaitwa nani vile! Naye yuko Arumeru? Basi wenye wake zenu kuweni macho huko.
 
Back
Top Bottom