CCM wanafiki, wamtekeleza Sioi Sumari baada ya matokeo kutangazwa

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Katika hali isio ya kwawaida, Mgombea wa CCM bw.Sioi Sumari, alijikuta akiwa peke yake kwenye chumba cha kuhesabu kura, huku wapambe Livingstone Lusinde,Mwigulu nchemba,Christopher ole Sendeka, na wapambe wengine wakitokomea kusiko kujulikana, wakimwacha Ndg.Sumari peke yake, ikionekana kana kwamba ametekelezwa huku hajui kilichokuwa kikiendelea na ikisemekana baadhi ya magamba wako njiani kuelekea Dar, nakushauri ndg.Sioi uhamie tu CDM, uendeleze mapambano na Mh.Joshua Nassari katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Arumeru
 
I hope Lowasa alikuwa nyumbani akimsubiri kwa hamu, wajipange upya?
 
Ukisha ona dalili ya kushindwa tena usubili kuzomewa we chapa mwendo, ndicho walichofanya mabingwa wa matusi a.k.a Lusinde
 
Hivi nchemba si ni mwanachama wa hili jukwaa,... kwa nini invisible asitutafutie tuna maswali kadhaa dhidi yake hapa, sijamwona humu tangu Lusinde amwage machafu yake kinywani yasiyosafishika kwa mswaki. Mara ya mwisho nilimsikia katika kampeni aliyoifanya King'ori akijaribu kuhubiri vipengele vya biblia angalau kuonyesha wananchi kuwa yuko tayari kutubu....
 
poleni sana ccm ila hilo ni fundisho kwa mzee Mkapa pumuzika kama mzee wetu mwinyi wananchi siku hizi ni wajanja sana zile siasa za uongo hazipo tena
 
Kweli mkuu,
Nilimcheki dogo TBC kwenye lichumba la kuhesabu kura akiwa na machalii wengine kabisa, hata Pasco wa JF sikumuona, kweli magamba wanafiki sana..
Katika hali isio ya kwawaida, Mgombea wa CCM bw.Sioi Sumari, alijikuta akiwa peke yake kwenye chumba cha kuhesabu kura, huku wapambe Livingstone Lusinde,Mwigulu nchemba,Christopher ole Sendeka, na wapambe wengine wakitokomea kusiko kujulikana, wakimwacha Ndg.Sumari peke yake, ikionekana kana kwamba ametekelezwa huku hajui kilichokuwa kikiendelea na ikisemekana baadhi ya magamba wako njiani kuelekea Dar, nakushauri ndg.Sioi uhamie tu CDM, uendeleze mapambano na Mh.Joshua Nassari katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Arumeru
 
Hivi nchemba si ni mwanachama wa hili jukwaa,... kwa nini invisible asitutafutie tuna maswali kadhaa dhidi yake hapa, sijamwona humu tangu Lusinde amwage machafu yake kinywani yasiyosafishika kwa mswaki. Mara ya mwisho nilimsikia katika kampeni aliyoifanya King'ori akijaribu kuhubiri vipengele vya biblia angalau kuonyesha wananchi kuwa yuko tayari kutubu....
Mzee wa Chemba hana tofauti na aliekua Waziri wa Habari wa Iraq kipindi wanapambana na USA bwana Al-Sahaf.
Pamoja na kila dalili kuonyesha kua Mgombea wao hauziki, yeye bado alijipa matumaini makubwa kua atashinda huku akidanganyana na wenzie hapa JF.
Bado nakumbuka kauli yake ya "Tusubiri tarehe 01 April" alivyokua akiitoa kwa kuirudia rudia.
Alifikia hata kuwatukana wana Arumeru kua ni mbumbumbu hivyo kwa 1st Class economist Kama yeye aanze kushuka mambo ya uchumi hawatamuelewa, so bora ashuke majungu tu akisaidiana Matusi ya Lusinde!!!
 
yeye mwenyewe hakupiga kura........wasira aliondoka saa saba usiku
 
Back
Top Bottom