Ccm wanafanya mkutano tegeta kwa ndevu,si jk alisema kampeni zimeisha!

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
Ndio wanafanya mkutano hivi sasa wanaongelea kuhusu hali ngumu ya maisha, kupanda kwa bei za vitu .wanasema eti inatokana na hali ya kisiasa zinazoendelea nchi za libya wanawaambia wananchi watofautisha kinachoendelea nchi za tunisia misri na libya na hapa kwetu tanzania.
Nilichokiona kwao wamepoa sana wapole sana zile siasa za majitaka hazipo
 
wanafuata ushauri wa sumaye
 
wamechanganyikiwa hawa watu wala usipoteze muda kuwasikiliza..yaani Libya ndo inapandisha bei ya vitu? kweli vipofu wanakokotana ...Wasubiri maandamano yetu yaleee ndo watajua nini maana ya mkutano
 
Back
Top Bottom