Ilikuwa ni weekend ya vikao vya CCM, kuanzia kikao cha Kamati ya Maadili, then CC na hatimaye NEC. Je, kuna habari yoyote ya maana kutoka huko kwenye hivyo vikao ambavyo vimetawaliwa na usiri mkubwa??
NEC is adjourned till tommorow 10.30AM.
Ina ashiria nini? Maamuzi yamekuwa magumu ama agenda zimekuwa nyingi?
Hapana, ratiba ndiyo ilipangwa hivyo. Ajenda za leo hazikuwa ngumu sana-masuala ya usalama wa chakula na hali ya siasa. Ngoma nadhani ipo kesho watakapojadili masuala ya uchaguziIna ashiria nini? Maamuzi yamekuwa magumu ama agenda zimekuwa nyingi?
Ina ashiria nini? Maamuzi yamekuwa magumu ama agenda zimekuwa nyingi?
Nasikia kuliibuka ubishi kidogo baada ya juhudi za kutaka kurudisha umoja na mshikamano kwa wana CCM kuelekea 2010 baada kwani wengine walihoji 'utampatanishaje wezi (mafisadi) na wenye mali (wapinga ufisadi)...Hapana, ratiba ndiyo ilipangwa hivyo. Ajenda za leo hazikuwa ngumu sana-masuala ya usalama wa chakula na hali ya siasa. Ngoma nadhani ipo kesho watakapojadili masuala ya uchaguzi