Elections 2010 CCM wamevunja katiba ya Tanzania?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,473
Hivi ni kweli CCM wamevunja katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuwazuia wagombea wao kushiriki kwenye midahalo ya TV? ThisDay wamefafanua hili Home*»*Insight

Kama hiki chama, CCM, wanavunja katiba namna hii, kuwanyima wagombea wao 'freedom of expression' wanafaa kweli kurudi madarakani? Harafu wanataka kuvunja tena katiba kwa kulitumia jeshi siku ya uchaguzi kwa kutangaza hali ya hatari possibly kwa kutoa amri ya kutokutembea usiku wa 31 Okt kuamkia 1 Nov 2010 (freedom of movement).

Kuburi hiki kinatoka wapi, wakati waajili ni sisi?
 
Kwani ndo unastukia leo besti?
Walishaisigina zamani sana na kuitelekeza!
Katiba ingekuwepo tusingekuwa na rais asiye na meno!
Rafiki yangu Teamo anasemaga rais wetu ni 'ceremonial' tu!
 
Walishaivunja,wanaivunja na wataendelea kuivunja nani anawatisha?Lakini tusichoke kukemea kwani huu ni wajibu wetu
 
Kama hiki chama, CCM, wanavunja katiba namna hii, kuwanyima wagombea wao 'freedom of expression' wanafaa kweli kurudi madarakani? Harafu wanataka kuvunja tena katiba kwa kulitumia jeshi siku ya uchaguzi kwa kutangaza hali ya hatari possibly kwa kutoa amri ya kutokutembea usiku wa 31 Okt kuamkia 1 Nov 2010 (freedom of movement).

Kuburi hiki kinatoka wapi, wakati waajili ni sisi?

JK ametupasha ya kuwa CCM itafanya lolote lile liwezekanavyo kubaki madarakani. "..lolote lile liwezekanavyo" yamaanisha ni pamoja na kusigina Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Hawa watu wa CCM siyo wacha Mungu na ndiyo maana kashfa zinawaandama popote waendapo na mwisho wao ni sasa.
 
Back
Top Bottom