Ccm wametupiga bao la kisigino kupitia dk ulimboka

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Tumesahau mambo mengi.

1. Mjadala wa katiba:israel:

2. Hoja ikiwa hot bungeni swala la ulimboka linatukika , siku azigandi:yawn:

3. Bunge atujui mpk sasa wanapitisha nini:sleepy:

4. Chadema (lema) kapotezwa na kazi ya kufufua uhai wa chama:eek2:

5. Watu wamesahau mpaka kuchukua vitambulisho vya wapiga kura kisa dk
A%20S%20465.gif

6. Vyuo vikuu wamebetweka
A%20S-baby.gif

7. Wanaharakati wamesahau kutuelimisha khs katiba, makongamano chali.

8. Wabunge awaji kutuelimisha mikoa ambayo tume imepita'

Kweli haya yamepita kwa nguvu zaidi, kasi zaidi
 
Si ni wewe ulishasema Jermany kachukua Kombe, Sasa mbona tena spain. Wacha kiherehere, mechi bado.
 
nakuonea huruma sana mleta mada......ni wewe peke yako ndo hujui kinachoendelea...pole..pole saaana
 
Mh!sikubaliani na wewe,kwani suala hili kwa mawazo yako litadumu kwa muda gani?na suala la mjadala wa kabiba litadumu kwa zaidi ya miezi 18!ni vitu viwili tofauti kabisa!
 
Nadhani ni coincidence tu kwamba la Ulimboka limekuja na bajeti zikasomwa wengi tukiwa macho yetu na masikio kwa Ulimboka. Hawa dhaifu wamefika mwisho hawana uwezo wa kututwist kwa kupangilia hivyo.
 
Tumesahau mambo mengi.

1. Mjadala wa katiba:israel:

2. Hoja ikiwa hot bungeni swala la ulimboka linatukika , siku azigandi:yawn:

3. Bunge atujui mpk sasa wanapitisha nini:sleepy:

4. Chadema (lema) kapotezwa na kazi ya kufufua uhai wa chama:eek2:

5. Watu wamesahau mpaka kuchukua vitambulisho vya wapiga kura kisa dk
A%20S%20465.gif

6. Vyuo vikuu wamebetweka
A%20S-baby.gif

7. Wanaharakati wamesahau kutuelimisha khs katiba, makongamano chali.

8. Wabunge awaji kutuelimisha mikoa ambayo tume imepita'

Kweli haya yamepita kwa nguvu zaidi, kasi zaidi
What a ****?Umepigwa wewe mwenyewe mimi simo kabisa
 
mungu yupo pamoja nasi wana mabadiliko , kila kitu kikifika climax kinashuka, , tunangoja siku wanayodondoka ndo watajua kuwa tulikuwa hatuwapendi
 
hivi wewe Mabumba, baba yako akifanyiwa kama Ulimboka utaendelea na ratiba nyingine
 
Tumesahau mambo mengi.

1. Mjadala wa katiba:israel:

2. Hoja ikiwa hot bungeni swala la ulimboka linatukika , siku azigandi:yawn:

3. Bunge atujui mpk sasa wanapitisha nini:sleepy:

4. Chadema (lema) kapotezwa na kazi ya kufufua uhai wa chama:eek2:

5. Watu wamesahau mpaka kuchukua vitambulisho vya wapiga kura kisa dk
A%20S%20465.gif

6. Vyuo vikuu wamebetweka
A%20S-baby.gif

7. Wanaharakati wamesahau kutuelimisha khs katiba, makongamano chali.

8. Wabunge awaji kutuelimisha mikoa ambayo tume imepita'

Kweli haya yamepita kwa nguvu zaidi, kasi zaidi

Hapo kwenye RED ckuelewi hata kidogo. CHADEMA inafufua chama au INAJINADI kwa maana inatafuta wanachama ili ikue.

Unaposema Lema anafufua chama ina maana CHADEMA ilikua ina make Headlines halafu ikafa then sasahivi Lema anawarudisha watu katika chama chao yani CDM.

NOT TRUE hapo kwenye RED
 
wabongo tumezidi kuishi kwa matukio.sijui haya yataisha lini??
 
Tumesahau mambo mengi.

1. Mjadala wa katiba:israel:

2. Hoja ikiwa hot bungeni swala la ulimboka linatukika , siku azigandi:yawn:

3. Bunge atujui mpk sasa wanapitisha nini:sleepy:

4. Chadema (lema) kapotezwa na kazi ya kufufua uhai wa chama:eek2:

5. Watu wamesahau mpaka kuchukua vitambulisho vya wapiga kura kisa dk
A%20S%20465.gif

6. Vyuo vikuu wamebetweka
A%20S-baby.gif

7. Wanaharakati wamesahau kutuelimisha khs katiba, makongamano chali.

8. Wabunge awaji kutuelimisha mikoa ambayo tume imepita'

Kweli haya yamepita kwa nguvu zaidi, kasi zaidi

bao lililofungwa hapo liko ndani ya fikira zako tu wala sio kweli, jifunze kuwa multi-tasking; untakiwa kujenga uwezo wa kuadress mabo zaidi ya moja kwa wakati mmoja lakini kwa kuassign weights kulingana na uzito wa jambo na uharaka wake. sakata la dr Ulli mtu yeyote mwenye akili na anayestahili kuitwa kiongozi asingeweza kulifumbia macho eti anajadili katiba, lilikuwa ni tukio la kupita ambalo lilikaribia sana kuondoa uhai wa mwananchi mwenzetu ingekuwa usaliti wa hali ya juu kwa chama makini kama CDM kuacha kulikemea kwa nguvu zao zote katika muda muafaka. ni swala la vipaumbele wala sio kusahau.
 
Huu ujinga wanauendekeza hao Chadema wanaoutumia mgomo huu kwa sababu za kisiasa ili hata wajinga wapate pa kusemea bungeni. Sasa kama imekula kwao tufanyeje. In any case, kuna nini la kuongea kuhusu katiba wakati unatakiwa ukatoe maoni yako.
 
Tumesahau mambo mengi.

1. Mjadala wa katiba:israel:

2. Hoja ikiwa hot bungeni swala la ulimboka linatukika , siku azigandi:yawn:

3. Bunge atujui mpk sasa wanapitisha nini:sleepy:

4. Chadema (lema) kapotezwa na kazi ya kufufua uhai wa chama:eek2:

5. Watu wamesahau mpaka kuchukua vitambulisho vya wapiga kura kisa dk
A%20S%20465.gif

6. Vyuo vikuu wamebetweka
A%20S-baby.gif

7. Wanaharakati wamesahau kutuelimisha khs katiba, makongamano chali.

8. Wabunge awaji kutuelimisha mikoa ambayo tume imepita'

Kweli haya yamepita kwa nguvu zaidi, kasi zaidi

YATAIBUKA MENGI

1. MARA FIGO ZINAFANAYA KAZI
A%20S%20cry.gif

2. YUPO ICU:spy:

3. KAHAMISHIWA UJERUMANI:wacko:

4. YUPO KWENYE COMMA.:sleepy:

Mtaimbishwa nyimbo zote wao wanapeta ; Turudi kwenye mstari sio kila nyimbo uivalie kibwebwe
:israel:
 
BAJETI MUHIMU YA MAJI INAPITA LEO;

CDM udhaifu wao ni Ulimboka, leo watachokonolewa kwa Dk Namala mkopi; full mabishano CCM wanapitisha vipengelele;

Jiulize bunge hili kuna siku umekuta wanashindaniana vipengele?? :israel:

Yu wapi dr ulimboka???????
Nimesoma gazeti moja ,wanasema kaenda nje ya nchi na kapewa pesa;

jitokeze dr ulimboka
 
Back
Top Bottom