CCM wamechelewa UVCCM za Arusha na Manyara zimejaa CHADEMA

kiini

Member
Sep 13, 2012
9
2
Karai walilolidharau CCM sasa linawarudi. Mwimba mkali unawachoma.Hii nimeisikia kuwa uchaguzi wa viongozi wa UVCCM za mkoa wa manyara na Arusha ni mchezo mtupu uliopangwa na makada maarufu waliohamia chadema hivi karibuni. Laizer wa arumeru ambaye ameenguliwa kwa kigezo cha kufanana na mlinzi wa mbowe ni moja ya mia ya mchezo wote. Uhalisi wa chadema kuwachezesha CCM kwata na kupanga uongozi kwa namna chadema walivyotaka ni dhahiri katika wilaya za Babati mjini, arusha mjini, longido, monduli, mbulu na arumeru mashariki na magharibi, Kiteto/simanjiro.

Haya makarai mawili wametengeneza mtandao ili kuidhoofisha CCM na kuwa safu yote ya uongozi wa UVCCM itakuwa ni mashushushu ya CDM.

mdharau mwiba........
 
sima kumla binadamu ni habari lakn sima kuliwa na binadamu ni habari ya kusisimua, habari hii inasisimua, ccm wanafanyiwa kwa uvccm, lakn chadema atafanyiwa na ccm katka kumpata mgombea wa chadema
 
Back
Top Bottom