CCM wameamua kuchinja watu kama syria

Kuna haja ya kushikisha adabu viongozi wa ccm. Mambo ya kupigwa shavu moja ugeze la pili watatumaliza hawa. Nashauri tu-adopt sera ya moyo kwa moyo, jicho kwa jicho ili kuwaadabisha hawa cm
 
Kuna kila dalili kwamba ccm wanaona wameshindwa na nguvu ya uma, wameamua kuanza kuwauwa wapambanaji ili kuwaogopesha wananchi kuendelea kudai haki yao. Shime wananchi hapo ndio mjue kwamba ccm wamekuwa wakituchinja muda mrefu kichumu, kisaikolojia, kiimani wameshindwa sasa wameamua kuchinja na kuua watu live kama anavyofanya asady kule syria, hii dhambi inayoitawala ccm. Tuwaondoe hawa watu. Na kwa taarifa nyenu ccm hakuna mwananchi atakayerudi nyuma ktk haya mapambano kama ni vurugu na kuondoa amani ni ninyi ccm ndio mnaleta ugomvi kwenye nchi yetu kwa makusudi kwa maslahi yenu binafsi halafu mnasingizia upinzani. Tutawaelimisha wazee na kina mama ambao walikuwa wanasema hatuchagui upinzani kwasababu wataleta vurugu hivyo wajue kuanzia sasa ni nani anayefanya nchi isiwe mahali pa kuishi, nashukuru kwamba wengi sasa wameshatambua hili.
Inatuuma sana sana

Tulianza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU......
 
mimi niliwai kuwaita majambazi AIGIPI MWEIMA na MKWE.RE majambazi wakuu hapa nchini tokea kipindi kile mapolisi wao walipoiba masanduku na miili ya marehemu wao waua kwenye mgodi.. Haya majambazi mawili niliyotaja hapo juu yalikaa kimyaa kama hayaoni kilichotokea!
Haya majambazi yakatoa amri watu wauwawe ARUSHA! Sasa yametoa amri ya kumuua mpiganaji mwingine!
Subiri muone kama haya majambazi yatafanya lolote,labda tu ilo jambazi la pili litachekacheka na hilo la kwanza litasema ni intelijensia! Bora vita ya haki kuliko huu upuuzi wa amani yenye mauwaji chini ya mwanvuli wa haya majambazi wakuu wawili!!
 
Kuna kila dalili kwamba ccm wanaona wameshindwa na nguvu ya uma, wameamua kuanza kuwauwa wapambanaji ili kuwaogopesha wananchi kuendelea kudai haki yao. Shime wananchi hapo ndio mjue kwamba ccm wamekuwa wakituchinja muda mrefu kichumu, kisaikolojia, kiimani wameshindwa sasa wameamua kuchinja na kuua watu live kama anavyofanya asady kule syria, hii dhambi inayoitawala ccm. Tuwaondoe hawa watu. Na kwa taarifa nyenu ccm hakuna mwananchi atakayerudi nyuma ktk haya mapambano kama ni vurugu na kuondoa amani ni ninyi ccm ndio mnaleta ugomvi kwenye nchi yetu kwa makusudi kwa maslahi yenu binafsi halafu mnasingizia upinzani. Tutawaelimisha wazee na kina mama ambao walikuwa wanasema hatuchagui upinzani kwasababu wataleta vurugu hivyo wajue kuanzia sasa ni nani anayefanya nchi isiwe mahali pa kuishi, nashukuru kwamba wengi sasa wameshatambua hili.
Inatuuma sana sana
Walianza Igunga kumchinja kiongozi wa CDM baada ya kumteka nyara, wakamwagia Tindikali raia wa CCM ambaye alionekana kutofautiana nao, wakawakatakata mapanga wabunge Kiwia na Machemuli,sasa wamechinja Mwenyekiti wetu Jamani.Wafanye yote lakini wananchi wameshawakataa.
 
hawa polisi ninamashaka na kauli zao kabla ya uchunguzi!!! pia siwezi kuwahukumu magamba kwa mauwaji moja kwa moja bila ushaidi!!! ngoja tuone baada ya uchunguzi!!!
 
Kwa nini usifikirie kuwa Wameru wameamua kuchinjana kama kuku kwa sababu hakuna kikao cha CCM kilichoamua kufanyika kwa hayo mauaji
kwani wakifanya vikao vyao vya siri wanakuita. Ccm inawajua hawa na kuwatuma wafanye hivyo, kama hawakuhusisha ni wewe!
 
polisi wameshindwa kazi, report ya mwakyembe mpaka leo bado, wabunge wa chadema waliotaka kuuwawa mwanza mppaka leo bado,....sasa hii ya diwani watawezea wapi......? think twice guyz
 
LUSINDE naye ni mshabiki wa chadema, wewe chadema ina nini na wewe? unaona uliloona ni tusi tu ila hoja yenyewe ya mauaji huioni kabisa, damu ya aliyeuawa ikukandike usoni kwako muuaji mkubwa wewe na uccm wako! umeniumiza sana, hivi uanasali kweli wewe?
Kumbe wewe jamaa uwa pumba kiasi hiki unatukana ili uonekane mjanja..awa ndio mashabiki wa Chadema.
 
Kwa nini usifikirie kuwa Wameru wameamua kuchinjana kama kuku kwa sababu hakuna kikao cha CCM kilichoamua kufanyika kwa hayo mauaji

Wewe mpuuzi kweli, toka lini kikao cha kufanya mauaji kikawa ni jambo la public, acha kuropoka, jipange!
 
Back
Top Bottom