CCM: Waliofanya fujo Zanzibar ni wapinzani (CUF) na ndio waliochoma ofisi za CCM na kufanya vurugu

kauli kama hizi ndio zitakazo chochea kwa kiasi kikubwa kwa hiyo SUKZ iyumbe na hatimaye warudi kule kule walikotoka coz siamini kama Cuf nao wataamua kukaa kimya au kuzifumbia macho kauli za namna hii ikizingatiwa kuwa cuf & ccm ndio vyama vikuu vya upinzani kwa siasa za zenji anyway tusubiri yatakayojiri baada ya hapa
 
Ni bahati mbaya unashtuka leo wakati dini yako imetumika tangu uchaguzi wa 2010, ilitumika kama ngao ya kuivusha ccm sasa leo wako madarakani kuna mikataba walikubaliana lakini ccm kaingia mitini ndiyo chanzo cha hizo chokochoko, wewe hujui lakini kuna wenzako walikula mshiko wa nguvu, ila omba bila kuchoka allah atakusikia.
 
Ngoja jussa na maalim wajipange vizuri ili wavunje muungano wakaribishe magaidi toka omani na iran hapo zanzibar, mtajua umuhimu wa muungano!
 
Danganya toto tu hiyo....ndoa yao ipo imara kabisaaa......siamini kwamba cuf wanaweza kwenye mikutano yao wakawa wanaishambulia cdm mwanzo mwisho halafu useme ndiyo wamechoma hizo ofisi....no.no.no........ingekuwa kweli ndoa ingekuwa imevunjika...mi nadhani cdm ndiyo wamehusika
 
Mwisho wa siku dini yangu ya kiislamu itaepuka haya matope na propaganda za vurugu zinazonasibishwa nazo
ukweli utadhihiri na hatimae pumba na mchele zitajitenga
Mkuu umekuwa banned, pole sana jirekebishe uombe Samahani urejee JF
 
Ndoa ya CCM(bwana) na CUF(bibi) ndio imefikia tamati! Ndoa ya mkeka! ila wamefanikiwa kuzaa mtoto anaitwa ADC,ila CCM anadai mtoto sio wake!!
 
hii nchi isipolipuka kwa udini italipuka kwa siasa uchwara ikikosa kulipuka kwa yote hayo basi italipuka kwa hali mbaya ya maisha,kwa sasa kulipuka ni lazima ni swala la muda tu.
 
M4C ya CDM mikutano yao police wanavamia na kuua. V4C ya CUF wanachama wao wanachoma makanisa, ofisi za CCM na wanachinja police. TENDWA toa tamko tukusikie nani adui wa amani yetu watanzania.
 
Hivi serikali imewashindwa hawa wanafiki ponda farid na uamsho? Kulea kidonda mwisho harufu ndio faida
 
Mawazo dhaifu huzaa fikra potofu, serikali ya chukua chako mapema imeishiwa na hoja, pia uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho. Inakuwaje wanajua kuna vuguvugu la fujo halafu polisi wanaacha kulinda watu na mali zao na badala yake wanakwenda kulala?
Asubuhi wanasema makanisa yamechomwa, vijiwe vimechomwa nk.
Hii nchi ina ulinzi kweli? Rais anapiga misele Arabuni.
 
Wawekezaji wameshaanza maandalizi ya kuondoka, waliokuwa wanajuandaa kuanza miradi wameshaacha kabisa.
 
....."wapinzani" ina maana pana zaidi ya cuf...!!na suala la kuuvunja muungano tayari umeshakuwa mpango ambao umewaunganisha wazanzibar wote!!!!(ndivyo mnavyotuarifu ndugu zetu wa unguja na pemba)...hicho kilichotokea jana nachelea...yaweza kuwa "dhambi" ya mpango wa kuwabagua "wabara" imeanza kuwatafuna...!!si mlionywa? (ingawa muonyaji hakuwa mzanzibar wala muislamu)...alas..na si huyo huyo (aliewaonya) aliwashauri (mwaka1995)...kwamba kwa mazingira ya siasa za zanzibar, serikali ya umoja wa kitaifa itatuliza mambo...mkakaidi...mkayaona mambo...miaka kadhaa baadae.."likawashuka"...mkafanya lile lile "alilowashauri" mwaka 1995...na likatuliza mambo...."sasa namna lilivyotimia la serikali ya umoja wa kitaifa kutuliza mambo....(mungu awanusuru)...na atunusuru na ss wa "bara pia"...la "kutimia kwa dhambi ya ubaguzi dhidi ya wabara (tena na tena...mungu awanusuru, atunusuru na sisi sote pia)...liko njiani kutimia...!....hadeeth inatufundisha kuitafuta ilmu "ikibidi" hata uchina...na ilm (ingawa si ya uchina) yatufundisha kwamba.."lips of righteous teaches many, but fools die for want of wisdom"...mnataka nini ndugu zetu wa zanzibar? "ilmu ya arabuni tu"...(ya deen masha allah...si haba)...hamtaki ilm ya bara? ya afrika?....kuna nafasi gani ya kuelewa somo tukufu la kwenye qur'an na hadeeth na sunna za bwana wetu mtume (s.a.w)...iwapo tunashindwa kuelewa somo rahisi toka kwa wenye "kuelewa" dunia...(na hila zake za kidunia)?.....tahadhari...

Kapimwe akili kwanza kwa mawazo yako ya kijinga wewe bado una chuki na z'bar vipi huko kwenu tanganyika kuuwawa Rpc mwanza kuchomwa makanisa mbagala na fujo zilizotekea jana baada kukamatwa ponda ndio muuendelezo 1995 aliyoyasema nyerere wa z'bar wanataka uhuru kutoka kwenye muungano wewe unaleta propaganda za kinyerere
 
Mtu na mkewe wanagombana na mwisho watatalikiana.

Ndoa ya mkeka huwa hazidumu kabisa. Bwana CCM mapenzi yake kwa mkewe CUF yalikuwa ni tamaa tu
 
Kapimwe akili kwanza kwa mawazo yako ya kijinga wewe bado una chuki na z'bar vipi huko kwenu tanganyika kuuwawa Rpc mwanza kuchomwa makanisa mbagala na fujo zilizotekea jana baada kukamatwa ponda ndio muuendelezo 1995 aliyoyasema nyerere wa z'bar wanataka uhuru kutoka kwenye muungano wewe unaleta propaganda za kinyerere

....Awali ya yote mi ni mzanzibar...! na naam nitafata ushauri wako sheikh wangu "taenda pimwa akili".... lkn nakuandalia hema pindi ukifika bara kama mkimbizi upate pa kujisitri...au...utakimbilia ulaya? manake arabuni hawakubali mambo ya wakimbizi...na wakikukubali basi "chakla chao mamwinyi"
 
Back
Top Bottom