Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
Picha tafadhali...!?
Hii sio ya Singida...Kupitia hii picha naona kama watu ni waengi au hii siyo ya singida?
Itv habari leo asubuhi
Wa windsurf Nape na Chiligati wakiutubia umati mdogo wa wananchi ambao idadi kubwa Yao walikuwa wamevaa sare za ccm. Idadi hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na umma unaohudhuria mikutano ya Chadema. Hata hotuba zao hazikusisimua
Picha tafadhali...!?