Elections 2010 CCM wakongwe!!!!Kulikoni??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hivi mimi nashindwa kuelewa hawa ccm wanakoelekea au niseme wanaona aibu kujiunga navyama vya upinzani??au ni ile nisije nikawa wa kwanza??tangu kampeni zimeanza nashangaa za safari hii!!!Hivi huyu JK ndiye mwanzilishi wa CCM??
Mbona sioni nyumayake kama anawatu wakumsaidia katika kampeni kama enzi hizo??hawa wakongwe wa CCM wamekiama chama kimyakimya??au maana namuona mkewe na mtoto wake kwenye hizi kampeni au tuseme wameamua kumsusia??hawa watu wako wapi??na wanaogopa nini??
1.Mkapa
2.Mwinyi
3.Sumaye
4.Dr.Ahamed
5.Komandoo
6.Walioba
7.Malicella
8.Mangula
9.Msekwa
10.Kingunge
Nawenine wengi mimi napatwa na mshangao kuhusu hili!Ninikinafukuta ccm???:A S confused::A S confused:
 
Nenda kwa Shekhe Yahaya utapata majibu.
Pia usome alama za nyakati utagundua kuwa "MTOTO AKILILIA WEMBE MPE"
UKIMKATA SHAURI YAKE.
SISI TUMETULIA TUNASUBIRI NGUVU YA FAMILY.KAMA WANAWEZA.
 
Nenda kwa Shekhe Yahaya utapata majibu.
Pia usome alama za nyakati utagundua kuwa "MTOTO AKILILIA WEMBE MPE"
UKIMKATA SHAURI YAKE.
SISI TUMETULIA TUNASUBIRI NGUVU YA FAMILY.KAMA WANAWEZA.
Hapo pekundu pamenichekesha sana mkuu:confused2:
 
Chama kimebinafsishwa kwa familia ya kikwete? Ni ajabu wakongwe hawamsaidii wakati mambo magumu!
Ccm tuwe pamoja kutetea chama chetu na mafisadi hatuwataki tena!!
 
Nadhani kwa mambo aliyofanya miaka mitano aliyokaa madarakani hajafanya jambo la maana zaidi ya kukumbatia marafiki na ndugu. Nakubaliana na wanaosema kuwa chama kimekuwa cha kifamilia zaidi na ndio maana viongozi wengi wa zamani hawasikiki wakikitetea chama hasa wakati huu ambapo kipo katika hali mbaya!
 
Hivi mimi nashindwa kuelewa hawa ccm wanakoelekea au niseme wanaona aibu kujiunga navyama vya upinzani??au ni ile nisije nikawa wa kwanza??tangu kampeni zimeanza nashangaa za safari hii!!!Hivi huyu JK ndiye mwanzilishi wa CCM??
Mbona sioni nyumayake kama anawatu wakumsaidia katika kampeni kama enzi hizo??hawa wakongwe wa CCM wamekiama chama kimyakimya??au maana namuona mkewe na mtoto wake kwenye hizi kampeni au tuseme wameamua kumsusia??hawa watu wako wapi??na wanaogopa nini??
1.Mkapa
2.Mwinyi
3.Sumaye
4.Dr.Ahamed
5.Komandoo
6.Walioba
7.Malicella
8.Mangula
9.Msekwa
10.Kingunge
Nawenine wengi mimi napatwa na mshangao kuhusu hili!Ninikinafukuta ccm???:A S confused::A S confused:

Malecella alijaribu kule Iringa sijui ikawaje hatujamisikia tena. Sasa imebaki JK, Salma na mwanae wakisaidiwa na Kinana kuratibu safari zao. Naona hata Makamba naye kimya. Labda Mkulu kawambia wakae pembeni wasije mharibia mambo.
 
JK alishasema urais ni suala la kifamilia ndiyo maana mkewe na mwanae ndiyo kawapa majukumu ya mgombea mwenza
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom