Hongera sana, naona umemnukuu Dkt Dhaifu kujustify hoja zako. Kwa mtindo huu najua Desemba yote hakuna mshahara maana. Unaposema huu ni udaku na umbea wakati leo ni tarehe 4 na watu hawajapata mishahara yao maana yake nini? Muongo nani hapa wewe, au mleta mada?Mimi ni mfanyakazi wa serikali kuu na mshahara unakalibia kuisha sasa hivi toka niuchukue! Jamani hizi habari bora JF waanzishe jukwaa la udaku na umbea/propaganda kuliko kutufanya watu wazima watoto.
"Kuna watu wanamiliki viwanda vya kuzalisha uongo" by JK.