CCM wakishirikiana na Jeshi la Polisi Tanga wamewanunua ndugu wa Marehemu Ally

Majuzi hapa Shigella alikuwa na ziara ya kichama mkoani Tanga, akalala hoteli moja ya kitalii inaitwa Tanga beach resort, jirani kulikuwa na msiba wa mzee wetu mmoja anaitwa Sheshe, alikuwa mkuu wa chuo cha afya cha bombo zamani, mara ya mwisho tukiwa na marehemu na mwanae mmoja wa kiume kwenye maongezi yetu kuhusu mambo ya siasa alisema "Kwa jinsi hali ilivyo na uelewa wa wananchi kwa sasa, ni vigumu ccm kushinda uchaguzi mkuu ujao,... Chadema wanavijana makini sana! Akamtolea mfano Mnyika".

Siku ya mazishi Shigella alivyopita pale kwa kuwa msiba ulikuwa jirani vijana wake na baadhi ya viongozi wa magamba Tanga walio ambatana nae wakaja kumuomba mzee mmoja aliyekuwa ndio organizer wa msiba kuwa katibu wa vijana Taifa anaomba kuja kutoa rambirambi. Mzee aliyeombwa hakuwa na shonde akawakubalia, punde kidogo ving'ora na eskorti ya nguvu ikawasili eneo la msiba wakiwa wamevalia sare zao za magamba wakaingia ndani na kumkabidhi mzee laki mbili.

Kwa maelezo haya na ushuhuda nilio uona sitashangaa kusikia kuwa msiba wa Ally (Homeboy) umegeuzwa dili kama ilivyo tokea kwa mzee wetu na Shigella.
 
Ni dhambi kubwa sana kufanya umahuti na msiba kuwa mtaji wa kisiasa!!!CCM iache kuwatukana watanzania kiasi hicho, umasikini waliotusababishia ni matusi tosha!!!Watanzania tusikubali kununulia kwa siasa za bei rahisi tunataka maendeleo!!!
 
Kawaida ya CDM,hata igunga walimwambia mgombea wao akatafute hela za kesi,wao wakasepa. Ni tabia yao kutumia vijana kwenye siasa zao chafu na kuwatosa wakimaliza kazi nao. Hela inatumika kwa wakubwa wa chama tu, tena wa huko kwao.

I wonder when you will be graced to be true to yourself
 
Ccm wameshindwa kutekeleza sera zao za kuigeuza kigoma kuwa dubai na kugeukia misiba.
Mwenyekiti wao ametia fora kwa kuhudhuria misiba hadi nje ya nchi.
Wacha waendelee kuzika wenzao ili ikifika 2015 watakapozikwa basi wapumzike kwa amani.
 
Hizo laki saba ziongezewe kuimarisha operesheni ya M4C huko Iringa, wampotezee huyo shemeji!
 
Ni lini tutapata mashujaa wa Chadema kutoka JF? Mpo watu kazi yenu kushabikia maafa kwa kisingizio cha M4C basi tunataka kusikia angalau Mwita Maranya au Molemo wamevunjwa miguu kwa ukereketwa wa M4C sio kila siku kuwatia watu wengine kwenye maafa na pengine wala hawaelewi nini maana halisi ya hiyo M4C.

Chama
Gongo la mboto DSM
Ndiyo mipango yenu sasa kuanza kufunga midomo ya wakemeaji wa maovu ya viongozi?.
Si ajabu kwako Mkuu wa mkoa kuamrisha polisi kumlipua Mwandishi wa habari asiye na silaha yoyote.
 
ccm wanajimaliza wenyewe pasipo kujua

wao walitakiwa watueleze kwanini baada ya miaka 50 ya uhuru wananchi hatuna maji safi, afya bora, elimu bora, viongozi bora, hatuna haki ya kuishi na bado ni maskini. watujibu kivitendo sio siasa za akina Nape, wasira na kundi lao wanaotukana kana kwamba ni kasuku aliyefundisha kutukana na akakariri matusi. kwa kuwa kasuku ni ndege hawezi kufikiri nje ya kutukana
 
je miaka 50 ya uhuru hatuna umeme bali tunajisifia kwa kuleta timu ya taifa ya Brazil? jamani hiyo ndiyo ccm iliyobaki baada ya Mwl. Nyerere kufa
 
Back
Top Bottom