CCM wakishirikiana na Jeshi la Polisi Tanga wamewanunua ndugu wa Marehemu Ally

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Habari za hivi punde kutoka Tanga zinadai familia ya ndugu wa Marehemu Ally aliyeuawa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wakati wakizuia Maandamano ya CHADEMA imeitisha mkutano na Waandishi wa Habari muda si mrefu na kudai kuwa CHADEMA Imesusia kushiriki katika msiba huo.

Ukweli ni kwamba ndugu wa Marehemu hasa Shemeji yake alikubaliana na Viongozi wa Chadema kuwa wangetoa laki saba 7 ya kukodi gari la kusafirisha mwili wa Marehemu na Ndugu wa Marehemu na kuwarudisha Morogoro.

Ghafla Shemeji huyo akakata mawasiliano na kupewa gari na watu wanaoaminika kuwa ni CCM na ndiye aliyefanya Press.

Inadaiwa huu ni Mkakati wa Nape na Propaganda zake za Udini na Ukanda. Watashindwa kwa hila zao na kwa maovu yao
 
Habari za hivi punde kutoka Tanga zinadai familia ya ndugu wa Marehemu Ally aliyeuawa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wakati wakizuia Maandamano ya CHADEMA imeitisha mkutano na Waandishi wa Habari muda si mrefu na kudai kuwa CHADEMA Imesusia kushiriki katika msiba huo. Ukweli ni kwamba ndugu wa Marehemu hasa Shemeji yake alikubaliana na Viongozi wa Chadema kuwa wangetoa laki saba 7 ya kukodi gari la kusafirisha mwili wa Marehemu na Ndugu wa Marehemu na kuwarudisha Morogoro. Ghafla Shemeji huyo akakata mawasiliano na kupewa gari na watu wanaoaminika kuwa ni CCM na ndiye aliyefanya Press.

Inadaiwa huu ni Mkakati wa Nape na Propaganda zake za Udini na Ukanda. Watashindwa kwa hila zao na kwa maovu yao

Mhh....was this all????? Just being curious................
 
Waache ccm wahangaike tu hata wakibinuka vipi sikio haliwezi kuzidi kichwa,pia ukweli utabaki kuwa ukweli ndani ya mioyo ya watu vivyo hivyo uongo utabaki kuwa uongo ndani ya mioyo ya watu.
 
Kama ni kweli sio ajabu kwa CCM na polisi kufanya hayo lakini ukweli utabaki palepale kwamba wameua kwa kushirikiana pia.
 
Yaani Magamba waue wao leo hii wanajifanya ndio wanaolia kwa sauti kubwa! Kweli Wonders shall never end ooo!!
 
Kikwete alisema mtanikumbuka watanzania sasa naanza kuona maana yake,tutakukumbuka kwa msaada wako wa kuharakisha kifo cha ccm...nepi kaza buti na propaganda zako za kizamani,mshachelewa sana...
 
Kila plan ina feli,watakuja na kila mbinu lakini zitagundulika mapema na kushindwa katika jina la yesu
 
Waache CCM wajilishe upepo, Nimekuwa nikisema kuwa hii mitandao ya kijamii imetusaidia sana, nowday hakuna changa la macho, zamani ilikuwa hakuna feedback between lisener and speaker, mwandishi na msomaji, siku hizi kabla habari haijaandikwa magazetini tayari JF, Twiter wameshaipata na kuijadili kwa kina, hiki ndicho kitakachoiangusha CCM , wao wanatumia mbinu za kizamani, CDM wanatumia shule.
 
Kitendo kilichofanywa na ndugu hao wa marehemu kula njama na wauaji ni sawa na kunywa damu ya ndugu yao huyo.
 
Waandishi wa habari walipigiwa na Kamanda wa Polisi anaitwa Mlambo na kupelekwa na gari la polisi hadi msibani na kukutanishwa na Shemeji wa Marehemu Bw Ally ambeye ndie aliishutumu CHADEMA. Mwanzoni viongozi wa CHADEMA walipoenda kuzungumza na familia ya Marehemu juu ya namna ya kushirikiana katika msiba huu, Shemeji huyo alinukuliwa akisema anashangaa CHADEMA kuwafuatafuata wakati ndugu yake kwanza hakuwa CHADEMA
 
Kawaida ya CDM,hata igunga walimwambia mgombea wao akatafute hela za kesi,wao wakasepa. Ni tabia yao kutumia vijana kwenye siasa zao chafu na kuwatosa wakimaliza kazi nao. Hela inatumika kwa wakubwa wa chama tu, tena wa huko kwao.
 
Back
Top Bottom