CCM wakifanya mikutano hawakamatwi CDM wakifanya mikutano wanakamatwa! kulikoni?

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Nashindwa kuelewa hapa Watanzania, wenzetu CCM wanakata mikutano ya hadhara bila shida kabisa, CDM wakifanya tu wanakamatwa! kulikoni? Inabidi na Na Nnauye wamkamate, wakishindwa tunaweza kumkamata sisi!:majani7::shut-mouth:
 
Ila tanzania imekaribia sana kuifikia Libya, Yemen, Tunisia nk yaani bado kidogo sana!
 
This is selective memory! CDM wametoka kufanya mikutano kanda ya ziwa (uninterrupted) wakaenda kanda ya nyanda za juu wakapiga mikutano (uninterrupted) na kwa ujumla wakasema wamefikia watu katika vijiji zaidi ya 475. Wakati huo kule Mbeya ikawa inaendelea Twanga Kote Kote. Sasa hiyo mikutano ya Singida and I don't where ndo sasa inageuka kuwa ni msingi wa hoja hii tasa? Have you gone deeper to establish the source of the recent crack down?
 
Hata kama wangekamata mtu kwenye mkutano mmoja tu yatosha kuwepo kwa hii thred, kwanini Nape hakamatwi wakati nayeye anachochea vurugu kwa kuisema vibaya chadema?
 
Huna hoja hapo wewe, Zitto amekamatwa kwa kurefusha muda na wala sio maneno aliyosema
 
Nashindwa kuelewa hapa Watanzania, wenzetu CCM wanakata mikutano ya hadhara bila shida kabisa, CDM wakifanya tu wanakamatwa! kulikoni? Inabidi na Na Nnauye wamkamate, wakishindwa tunaweza kumkamata sisi!:majani7::shut-mouth:
Kukamatwa ndiyo mtaji wa siasa wenyewe e,g leo JK na mbowe jamii inasupport CDM wanajitolea kufa na kupona 2015 IKulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom