CCM Wakejeli vikali Maandamano ya Waandishi!

Mbona huyu Dr.Lwaitama amakuwa akiikosoa CDM maranyingi, na mara kadhaa akisema bado hakuna mbadala wa CCM. Ameandika magazetini na hata mitandao ya kijamii pia including JF. Leo hii kuongea kwenye jukwaa la wanahabari wenzake katika kupinga na kulaani mauaji ya kikatili ya mwanahabari Daudi Mwangosi ndiyo amekuwa CHADEMA?
 
22.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke lakini ndio wamekuwa wa kwanza kumhoji kama anavyoonekana pichani pili waandishi hao hao wakampa nafasi Dk Xavery Rweitama wa Chadema kuongea kama rafiki wa waandishi wa habari... Jamani taaluma hii na siasa ni vitu viwili tofauti.

Source: CCM Blog

Mytake:
Nape Nnauye ndo alizindua hii blog ya CCM na yeye ndo anapeleka habari hizi; inakuwaje Nape unakuwa na chuki na waandishi? Je mbona unabomoa chama chetu?

Sasa ulitegemea nini? Nchimbi kwa kujipendekeza kwa wanahabari "ndo Habari" pia
 
CCM inavyokufa inafurahisha sana! Yani full chaos! Jasho na damu za wenye haki lazma ziwatafune na hadi kizazi chenu cha 6!!
Kuwa against wanahabari ni political suicide kabisa!! Wenye akili wataondoka pole pole waende huko walikoficha mahela yao!
 
22.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke lakini ndio wamekuwa wa kwanza kumhoji kama anavyoonekana pichani pili waandishi hao hao wakampa nafasi Dk Xavery Rweitama wa Chadema kuongea kama rafiki wa waandishi wa habari... Jamani taaluma hii na siasa ni vitu viwili tofauti.

Source: CCM Blog

Mytake:
Nape Nnauye ndo alizindua hii blog ya CCM na yeye ndo anapeleka habari hizi; inakuwaje Nape unakuwa na chuki na waandishi? Je mbona unabomoa chama chetu?

Hii habari umeiandika kwa kukurupuka na kwa WOGA WA KI-CCM kila inapoikumbuka CHADEMA! Kuongea kwa DR AVAVELI LWEITAMA haina Uhusiano wowote na CHADEMA na kama wewe ni mfuatiliaji wa hoja na mienendo ya kitaaluma na kisiasa Tanzania utagundua kuwa HAIJAWAHI KUELEZWA POPOTE KUWA DR LWAITAMA NI CHADEMA, na wala hajawahi kuonekana kukiri au kuonyesha kadi ya CHADEMA, ila katika mijadala mingi anayohusika kuongea kisiasa anasema wazi kuwa yeye ni MWANACHAMA MFU WA CCM, na hivyo afadhali ungesema unaogopa kuliko kuunganisha hisia zako na ukweli ili uonekane unazo hoja.

Pili, mbona kila mtu anayeongea kuhusu huu UOVU WA CCM kwa kuitumia POLISISIEMU anapewa jina la CDM? Mtaogopa Hoja za kweli hadi lini? Suluhisho sio ku-distract (kuzuia) ukweli usionekane, bali kujibu UKWELI KWA UKWELI (Hoja kwa Hoja), na sio kukimbilia visingizio!

WAANDISHI WAPO HURU POPOTE, WANAWEZA KUPATA USHAURI NA URAFIKI KWA YEYOTE so long as JAMII NA TAIFA LINAPATA HABARI SAHIHI! ACHA WOGA!!
 
Nimekua nikimsikia lwaitama akisema wazi bila kificho ni mwanachama mfu wa ccm huyu mzee si mnafiki huwa anajipambanua vizuri na ndie anaeweza kusema kulolote juu ya chochote bila woga waandishi walimchagua mtu makini kuwasemea.
 
hongereni waandishi habari kwa kuonyesha hisia zenu juu ya utawala huu mbovu.
 
22.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke lakini ndio wamekuwa wa kwanza kumhoji kama anavyoonekana pichani pili waandishi hao hao wakampa nafasi Dk Xavery Rweitama wa Chadema kuongea kama rafiki wa waandishi wa habari... Jamani taaluma hii na siasa ni vitu viwili tofauti.

Source: CCM Blog

Mytake:
Nape Nnauye ndo alizindua hii blog ya CCM na yeye ndo anapeleka habari hizi; inakuwaje Nape unakuwa na chuki na waandishi? Je mbona unabomoa chama chetu?

Apart from stupid blunders zinazofanywa na CCM, isijiingiize kuwa katika upande wa pili wa sakata hili la mauaji ya Mwandishi Mwangosi.

Pengine kuna watu hawajaelewa kuwa suala hili limewaudhi watu wengi tu ndani na nje ya nchi, kukebehi suala hili na kuliita ni la kisiasa ni upofu wa kuona mbali na kukosa upeo wa kuchambua mambo.

CCM, chama ambacho hata mimi ni mwanachama, ikiwa imeshikilia dola inapaswa kujisahihisha na kuongoza dola ipasavyo, na si kutetea mambo ya kijinga kama kuua raia wa Tanzania.

Kama CCM ikishindwa kufanya hivyo iwe na uhakika wa kuwepo kina Dr Lwaitama wengi tu-watu ambao wameondoka CCM hivi karibuni.
 
wengi wa waandishi wa habari ni chomeka chomoa ??wanafiki sana na njaa njaa zao ndio zinawasumbua?? Sizitaki mbivu hizi na huku bado wanazirukia??? Sasa walimfukuza kilicho wasibu kumkimbilia na kumpiga picha na kumuhoji ni nin???. Mmetegwa na nyie mmetegeka.
 
aliyeandika habari hiyo lazima alikuwa amebanwa na kimba, toka lini Lwaitama amekuwa ni mwanachama wa CHADEMA? Lwaitama yeye hujiita mwanachama mfu wa CCM,sasa kadi ya CHADEMA kachukua lini na ni kadi namba ngapi? uanaharakati wake kusitafsiriwe kuwa ni mwanaCHADEMA>

BongoLogik aliyeandika hii habari anakaribia kutoka nje ya mstari! Maandamano yale yalikuwa ya waandishi wa habari na yaliandaliwa na Jukwaa la wahariri, Mbona CDM unaitajataja sana kama imehusika? Dr. Lwaitama ni rafiki wa wanahabari, na alikaribishwa kuzungumza kama mwanaharakati, akitetea uhuru wa wanahabari kufanya kazi na kulaani jeshi la polisi kutumiwa na vyama vya siasa "kukalia" jitihada za vyama vya upinzani kufanya siasa (kufungua matawi)! Kutamka hilo hakumlazimu Dr. kuwa mwanachama wa CDM!
 
Hivi bado watu mnashangaa maneno ya Nepi, mimi najua yule ni mwehu wala sipotezi muda kumshangaa.
 
BongoLogik aliyeandika hii habari anakaribia kutoka nje ya mstari! Maandamano yale yalikuwa ya waandishi wa habari na yaliandaliwa na Jukwaa la wahariri, Mbona CDM unaitajataja sana kama imehusika? Dr. Lwaitama ni rafiki wa wanahabari, na alikaribishwa kuzungumza kama mwanaharakati, akitetea uhuru wa wanahabari kufanya kazi na kulaani jeshi la polisi kutumiwa na vyama vya siasa "kukalia" jitihada za vyama vya upinzani kufanya siasa (kufungua matawi)! Kutamka hilo hakumlazimu Dr. kuwa mwanachama wa CDM!
tuko pamoja
 
waandishi hawa wameitumikia ccm kwa uadilifu n kwa moyo wote na hii ndo shukuranikubwa ccm inatoa kwa watumishi wake waliotukuka,
 
Nilikwahi kuwaomba wanahabari waache kuwapa nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari wanasiasa wasiokuwa na mwelekeo kama Nape. Mpaka leo sijafahamu nia halisi aliyo nayo katika siasa, kuuwa CCM au kuvuruga amani nchini?
 
kwanini wanamlazimisha Lwaitama kuwa yeye ni ccm kweli wameishiwa hoja cz kila cku lwaitama anasema kwa hana kadi ya chama chochote kile...............
 
Back
Top Bottom