CCM wajua kitakachowakuta kutoka CHADEMA!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Hofu ya sasa ya ccm kwa chadema ni kutokana na ukweli kwamba hiyo 'katiba' mpya itakutana na aibu ya mwaka itakayofanikishwa na cdm na kupigiwa kura za maruhani. Kwa katiba kupitishwa kwa kura za maruhani itakuwa ni aibu kwa serikali ya magamba na wale wote waliokataa mapendekezo ya cdm
 
Back
Top Bottom