CCM wajiandaa na kampeni Segerea-Uchaguzi Mdogo

mkuu rekebisha. nyantare ni baa ya kichoko tu na ina kashifa ya kuua mtu. huyu makongoro ya kwato alitukana wapigakura wa kiume wa tabata akiwafananisha na mabaamedi. wakala mmoja ambaye ni swahiba wangu na afisa mtendaji wa kata ana hakika makongoro ya kwato alichakachua. Kama mahakama haitaingiliwa nina uhakika 100% makongoro ya kwato anapigwa chini.
 
Mwisho Wa Ubaya Aibu.....Hata Arumeru Mashariki Mwigulu alipita kwa vijana waendesha boda boda akawaachia na Business cards lakini hazikutosha!Mwisho wa siku walikula kichwa...stay tune!
 
Na huyu Mpendazoe haaminiki,Nahisi nae ni Gamba ndani CDM!Amulikwe kwelikweli kabla yakumpa post ya CDM Segerea ktk uchaguzi mdogo kama utakuwepo!

huyu si gamba kwani kaangaika sana na hii kesi ( BORA MPENDAZOE KULIKO SHIBUDA)
 
Nyota njema uonekana asubui ili jimbo ni la magwanda na wala c magamba ya c c m
 
jamani hizi chaguzi mara kwa mara zinachosha....hivi vyama viachage kuiba kura mue na roho ya huruma na hizi hela za walipa kodi, mkiacha kuiba au kuchakachua kura then haya matatizo hayatatokea...tufanye kampeni kwa utaratibu na uhalali anayeshinda basi tujue ndio mbunge wetu kwa miaka 5..hizi hela za kukata rufaa mahakamani na kufanya chaguzi nyingine tunazitoa wapi??
 
si vizuri kujadili jambo lililoko mahakamani kwa kufanya hivyo tunaingilia uhuru wa mahakama[/QU


Tatizo sio kuingilia uhura wa mahakama hapa, hii kesi ya makorongo iko uchi toka mwazo ikimpeleka mchaka mchaka mpaka anatoa ulimi nje, ukweli haujawahi kushindwa na uongo tatizo ni hawa majaji wetu wa UPE ndio wakati mwingine wanapindisha ukweli kama kule arachuga.
 
si vizuri kujadili jambo lililoko mahakamani kwa kufanya hivyo tunaingilia uhuru wa mahakama


Tatizo sio kuingilia uhuru wa mahakama hapa, hii kesi ya makorongo iko uchi toka mwazo ikimpeleka mchaka mchaka mpaka anatoa ulimi nje, ukweli haujawahi kushindwa na uongo tatizo ni hawa majaji wetu wa UPE ndio wakati mwingine wanapindisha ukweli kama kule arachuga.
 
Usihesabu faida kabla ya kufungwa lango la mnada. Kama walivyosema waliotangulia tusubiri hiyo iitwayo siku.
 
Siku Makongoro akivuliwa ubunge nitafurahi sana. Ni mtu mshenzi sana, kwa nini uibe haki ya mwenzako?
mmmh! Red: siyo lugha nzuri hata kwenye JF. Green: mbona hukuenda kutoa ushahidi? Sasa unaambiwa hakuna ushahidi mahakamani, na polisi anayetajwa humu alikana kabisa mahakamani, na wote tulisoma kwenye magazeti. Wengine ni wadogo sana humu, huko zamani wakati kura zikishapigwa kituoni na kuwekwa masandukuni yalikuwa yanasafirishwa kwenda kuhesabiwa eneo jingine. Hapo ndipo wizi wa masanduku ulikuwa na mantiki. Lakini siku hizi kura zinahesabiwa pale pale, na kubandikwa hapo hapo. Hata ukiiba sanduku baadaye haikusaidii. Kinacho matter sasa ni karatasi za majumuisho. Sidhani kama Mahanga ni mjinga kutojua hilo hadi aende kubeba sanduku zisizomsaidia. Lakini, hivi mmezungumza na Mpendazoe? Anasema yeye
hakulalamikia Mahanga kushikwa na masanduku kwa sababu wakati uvumi unaenea kwamba mahanga yuko buguruni na masanduku, yeye mpendazoe anasema walikuwa na mahanga segerea kwa afisa mtendaji wakijumuisha kura za udiwani! Kwa kuwa madai ya mahanga kushikwa na masanduku wala hawapo mbele ya jaji, hata hayatafikiriwa na Jaji siku ya hukumu.
 
No wonder JK ataanza kwa kumpiga chini unaibu waziri!
Alafu hana msaada wowote kwa wapiga kura wake.
Nilisikia yuko hoi!
 
Back
Top Bottom