CCM waja na operation ndoano

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Baada ya chadema kuja na operation Sangara kanda ya ziwa na kufanikiwa kumshona sangara kisha kumwacha aishi salama,CCM nayo inakuja na operation ndoano je,wanataka kumvua samaki ziwani ambaye ni chadema?Ziwani kuna miamba na tope watampata kweli? Yetu macho! Tangulini chuma kikafanyiwa operation?
 
Bora wangetumia kokolo kwa ndoano nadhani samaki wameshashitukia chambo hivyo kuto kukila na kutowakamata
 
Wajiandae Kuzomewa...Ningewashauri CCM wajibu hoja za msingi na wajibu maswali mengi ambayo mpaka sasa hawana majibu yake ...
vinginevyo watazomewa tu.
 
...strategists wa CCM ovyo kabisaa..the dumbest ever!!! basically, waboreshe uchumi wa jumla na wa rejareja-FULL STOP!! Once wakifanya jitihada za wazi, zinazojiuza kwa wanachi..CDM hawatakuwa na cha kusema!! Tangu uchaguzi uishe, CCM wapo bize na CDM sasa UVCCM nao wameongeza mzigi mwingine kwa watendaji wakuu wa CCM ambao ni haohao wa serikali...miaka inakatika wanapoteza muda kwa malumban....2015 watatakuwa kuwa accountable kwa performance yao!!
 
  • Thanks
Reactions: Iza
habari hii ni kweli,tetesi au stori ya kijiweni,kama ni kweli basi nim kazi ya jiniaz makamba
 
Baada ya chadema kuja na operation Sangara kanda ya ziwa na kufanikiwa kumshona sangara kisha kumwacha aishi salama,CCM nayo inakuja na operation ndoano je,wanataka kumvua samaki ziwani ambaye ni chadema?Ziwani kuna miamba na tope watampata kweli? Yetu macho! Tangulini chuma kikafanyiwa operation?

Habari haina chanzo wala nini. Huu ni uzushi wa Chadema katika kukihofia Chama Tawala. Watasingizia kila kitu kwa nia ya kupotosha umma.
 
Hakuna umma usio kuwa na macho..hakuna wa kupotoshwa..kero zisipotatuliwa kwa kiwango cha kuridhisha wakati uwezo serikali inao isitafute mchawi..
 
Habari haina chanzo wala nini. Huu ni uzushi wa Chadema katika kukihofia Chama Tawala. Watasingizia kila kitu kwa nia ya kupotosha umma.
nani anahofia chama kilichokufa? waulize wenzio last week walifanya mikutano mjini shinyanga watu wangapi walihudhuria .
 
PHP:
Baada ya chadema kuja na operation Sangara kanda ya ziwa na kufanikiwa  kumshona sangara kisha kumwacha aishi salama,CCM nayo inakuja na  operation ndoano je,wanataka kumvua samaki ziwani ambaye ni  chadema?Ziwani kuna miamba na tope watampata kweli? Yetu macho!  Tangulini chuma kikafanyiwa operation?

tatizo ni kuwa.....................a copycat never learns...........................................
 
Baada ya chadema kuja na operation Sangara kanda ya ziwa na kufanikiwa kumshona sangara kisha kumwacha aishi salama,CCM nayo inakuja na operation ndoano je,wanataka kumvua samaki ziwani ambaye ni chadema?Ziwani kuna miamba na tope watampata kweli? Yetu macho! Tangulini chuma kikafanyiwa operation?
Kama ni kweli basi CCM wanaiugua laana ya Hayati Mzee Nyerere waliyemdhalilisha na kuendelea kumdhalilisha kwa kutofuata hata moja kati ya mema aliyowaasa. Ni laana mbaya sana inayoashiria anguko kubwa.
Hivi hakuna hata mmoja mwenye hekima wa kuiokoa CCM? Bado tu imewakumbatia wezi, vibaka, wasanii, mafisadi na walaghai? Kumbe CHADEMA wanasingiziwa mithili ya dobi anavyosingiziwa kutotakasisha kaniki wakati weusi ndiyo rangi yake! Ama kweli mchawi wa CCM ni CCM yenyewe.
 
Baada ya chadema kuja na operation Sangara kanda ya ziwa na kufanikiwa kumshona sangara kisha kumwacha aishi salama,CCM nayo inakuja na operation ndoano je,wanataka kumvua samaki ziwani ambaye ni chadema?Ziwani kuna miamba na tope watampata kweli? Yetu macho! Tangulini chuma kikafanyiwa operation?

CCM walivyokuwa na upeo mdogo wa kufikiria jinsi gani ya kuimarisha chama na kurudisha imani iliyopotea watakuwa wanafikiria ni jinsi gani ya kujaza watu kwa kutuletea fiesta uku wakidhani huo wingi wa watu ndio ccm uku wakisahau watu hao wamefuata kuangalia wasanii.
CCM hawana jipya
 
wenzao tupo operation washa taa wenyewe ndo wanakumbuka ndoano?imekula kwao.kila tukiamka wanalala,tukisimama wanakaa.
 
Baada ya chadema kuja na operation Sangara kanda ya ziwa na kufanikiwa kumshona sangara kisha kumwacha aishi salama,CCM nayo inakuja na operation ndoano je,wanataka kumvua samaki ziwani ambaye ni chadema?Ziwani kuna miamba na tope watampata kweli? Yetu macho! Tangulini chuma kikafanyiwa operation?

I love this! CDM leads and others follow.
First CDM on Sangara then CUF on Zinduka and now Ndoano for CCM.
 
Afadhali waiite "Operation nyavu". Ndoana anashika samaki mmoja mmoja CCM wanaitaji nyavu kuwavua wananchi waliokwenda Chadema. Ni kukumbuka shuka wakati kumekucha!
 
sawa tunasubili kwa hamu iyo operesheni ndoano japo nina shaka na nyavu zimetoboka na ndoano imejaa kutu, wazisafishe na kuishona kwanza ndipo watafanyikiwa kuopoa japo samaki wamekuwa wajanja na wenye akili kumzidi mvuvi, sio zama za kale sasa, think twice:lol:
 
Back
Top Bottom